[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hongera sana mwamba
MSIBA huu..ndugu zangu...taasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Apewe tu kama ni kazi anapiga kwelikweliKAIMU KATIBU Apewe ofisi mazima
Hongera sana..Ndugu zangu nimeanza kufuatilia huu uzi tokea 3/09/2022, nikafanya interview nne, mbili nikaingia oral mbili nikaishia written
Leo hii na mimi nimeliona jina langu ndani ya pdf. Mungu ni mwema sana ndugu zangu,
Kwa ambao bado, hakuna kukata tamaa, tupambane bila kuchoka wakati wenu utafika pia.
[emoji1545]Hongera sana..
Dah tunarudi kule kule, sina Iman ata kidogo 🙃 Mungu atutetende wepesi joblesstaasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Dah tunarudi kule kule, sina Iman ata kidogo 🙃 Mungu atutetende wepesi jobless

Kwa hiyo na Data base kushiney au sio ? ,Maana hayo mambo ya data base ndio hamna tena kama taasisi zikianza kuajiri zenyeweDah tunarudi kule kule, sina Iman ata kidogo 🙃 Mungu atutetende wepesi jobless
Hizo shortlisted zipo na selected for null zipo na selected for oral zote zina maana yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora zitokee hizo lakini ukiona maandishi mekundu Yale not selected na oral ilifanya ujue hapo baba jeni bye bye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
daah mwanangu ulilia lia sana. now MUNGU KakukumbukaWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
HONGERA sana nakuita mdogo angu,coz niwajina wa mdogo angu. sasa hii inatupa faraja sana man kuwa inawezekanaWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Nafanyeje mkuu niache NGO au nifanye nn mshahara ni TGS.daah mwanangu ulilia lia sana. now MUNGU Kakukumbuka
Asante mkuuHONGERA sana nakuita mdogo angu,coz niwajina wa mdogo angu. sasa hii inatupa faraja sana man kuwa inawezekana
Fanya kazi NGO ajira za serikali kuomba mwisho miaka 45.Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana mwamba,huko NGO piga chini hakuna job securityWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
mkuu fanya unachoona sahihiNafanyeje mkuu niache NGO au nifanye nn mshahara ni TGS.
Hapa hata sijajiandaa kufata barua