HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Daaah ulivyokuwa unailalamikia PSRS, Mungu amesikia kilio chako amekupa kazi ya serikalini bado tena unasema upo dilemma, na ikumbukwe kabla ya placement ulikuwa unalalamika sana ila watu bana😂😂😂

Au umepelekwa sehemu ambayo haujaipenda??🤔🤔
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera mkuu mi nakushauri tu fuata moyo wako unachokitaka na unachokipenda
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wako
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Basi komaa huko huko fanya kazi kwa bidii ili uwepo kazini mpaka mkataba utapoisha na uwe na malengo na malipo utakayoyapata i mean uwekeze katika kitu kingine kitakachokuendeshea maisha yako hata usipopata kazi tena kwa wakati mkataba ukiisha usije ukaanza kuwatupia lawama PSRS tena🙌🙌
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Fanya kile roho/moyo wako unaopenda na kuridhia kutokana na 'goal' uliyojiwekea mwanzoni kabisa kabla hujapata kazi zote mbili
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
hongera sana mtaalam.

😀😀😀.
Unanifurahisha sana we mtaalamu kwa hiyo unataka kuifanya placement uliyokuwa unaisubiri kwa hamu kuwa challange tena.
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Sikia we jamaa kama UNAJIAMINI NA UNAUWEZO KWELIKWELI baki hapo NGO lakini pia cheki histori ya wafanyakazi wa hapo kama Hiyo NGO ina muda mrefu, Je wanakaa na wafanyakazi kwa muda mrefu? Ikiwe ndio komaa nao huku ukiwa na plan makini za saving na uwekezaji mzuri acha bata za ajabu. Wakati huo unaendelea kufuatilia kazi za serikali usizozipenda ukibahatika ukapata unaacha huko NGO unaingia serikali.

LAKINI kama ulishikwa mkono ndo ukaingia hapo, haujiamini na hiyo NGO inatabia ya kubadili au kufukuza wafanyakazi ovyo AYSEEEEEE achana nayo. Nenda kachukue barua DOM. Kiujumla fanya maamuzi ya kitaalamu.

Maana 2024 unaweza rudi humu kusukuma huu uzi kama JOBLESS ULIYEBOBEA na unavyojua kuwafokea PSRS 😃 watakukoma.

Na ukikuta PSRS Ndo basi tena baba jane bye bye👋👋👋.
 
Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Hongera Mkuu.
Ila kiukweli Halmashauri kipengele na hio 700k ni basic. Kama ulisomeshwa na Heslb unaweza lamba 400k kwa mwezi bila allowance yoyote.

Huo mshahara wa NGO utakaopata tu Kwa miaka 3 tu.

Kwa take home ya Halmashauri utaupata baada ya miaka 20.

Assume other stuffs remain constant.
 
Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.

But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.

Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.

Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
 
Hongera sana mkuu, hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwema
 
Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.

But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.

Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.

Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sana kiongozi, ukawe mtumishi mwema huko.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.

But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.

Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.

Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom