HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatimae na mm nimefikiwa . mamlaka ya viwanja vya ndege.
Status ni SELECTED FOR ORAL interview both App and Web.
Hongera sana Kiongozi ....Ukawe mtumishi mwema...
Mungu wa rehema na baraka tele mnatupa matumain na sisi ambao tunawait data base...Hakika mama(rais) anatupa matumain vijana wake

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa, Nashukuru sanaaaa kwa pongezi kiongozi. Cha muhimu ni kuwa na Subra na kumuomba Mungu pia.
 
Back
Top Bottom