HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwenye new chapter
 
Wakuu kwa watu walichaguliwa written interview, kuna haja ya kuwa na deed pool?? kama majina ya vyeti vya taaluma ni mawili lakini cheti Cha kuzaliwa na NIDA ni matatu.
 
Kama unaenda hizi saili za keshokutwa tafuta affidavit kwa usalama wako maana kama deepol utachelewa unaweza kufika kule kwenye ukaguzi wakakukataa ukajikuta umeingia hasara

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ninahisi IT( anaepress button/ anaepost pdf ) anafuatilia huu uzi. Kama ni kwelii aysee Mungu akuongoze kwenye njia sahihi na kama upo basi ubakie kwenye njia sahihi. Na ufanikiwe usiwe masikini.

Maana jana kachomoa pdf 2 usiku katuwekea pdf 2.

Kitaa pagumu sana washauli wenzako interval from oral to placement iwe rafiki, mnavotufanyia kwa sasa sio fair.

Chekicheki basi kama kuna kiporo cha pdf ukitupie leoleo😂😂😂.

IT NI MTU WETU. 💥💥💥
hahaa we mwamba unafurahisha sana, bfore tulizani meckpro ndio anaeshusha pdf za utumishi
 
Wakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.

Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.

Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.

Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.

Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.

ULUMBI
 
Hongera sana kaka
 
Congrats sana!
Amina
 
Hongera mtaalamu ukawe mtumishi mwemaa.
 
Hongera sana! Mungu akutangulie
 
Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
 
Wakuu kwa watu walichaguliwa written interview, kuna haja ya kuwa na deed pool?? kama majina ya vyeti vya taaluma ni mawili lakini cheti Cha kuzaliwa na NIDA ni matatu.
Maybe maana mi majina mawili yapo form 4 pekee,pengine pote matatu,na nilifika fika oral,Ila kwa tafadhari tafuta avidavit
 
Wakuu kwa watu walichaguliwa written interview, kuna haja ya kuwa na deed pool?? kama majina ya vyeti vya taaluma ni mawili lakini cheti Cha kuzaliwa na NIDA ni matatu.
Kwa mfano kwenye vyeti vyako vyote vya taaluma vinasomeka AL JOHN ila kwenye nida+cheti Cha kuzaliwa vinasomeka AL JOHN SON Hapo hakuna tatizo, ilo jina la tatu ni laukoo sio watu wote wanalitumia kwenye vyeti vya taaluma.

Ila kama mpangalio haupo hivyo au Kuna herufi imemiss apo tafuta affidavit mapema mzee.
 
Afu tabia zako ujaacha unajisikia raha Sana watu kukwama

Mkuu utakuwa mwanga sio bure, haya endelea kufurahi

Kila mtu na wakati wake.
Unapanick mitandaoni kiongozi nikuwangie nakujua??tunaongea uharisia ulivyo kwani humu watu wa utumishi wapo na walishasema haya kuwa mtulivu na mvumilivu pia ,pitia post za mwanzo utajifunza na mengine .
 
Back
Top Bottom