Nenda gavo ndugu,Corona iliwafunza weng,hasa secta ya utalii,wengi private walisimsmishwa kazi,ikitokea shida yoyote labda kuumwa muda mrefu wanakuvunjia mkataba chap,utafurahia hiyo miaka mitatu,Ila ikiisha tu utaishi kwa kutaabika miaka mingi mbele,kumbuka kinachotukwamisha waafrika ni wanaotutegemea ni wengi,kuliko hela unayoipata,hata ukilipwa milion 10 bado matatizo yatamaliza hela, private kukuachisha kazi anytime tu,bosi akikuchukia umeenda ndugu,serikalin hela ni kidogo lakin kazi Ina security 100%,utaenjoy mpk utastaafu na bado utalipwa mapension,viinua mgongo na matibabu,imagine kabla sijazaliwa baba alikuwa serikalin,nimesoma la kwanza mpk chuo kikuu baba yupo serikalin,nimekaa miaka 7 mtaani natafuta kazi bado baba yupo serikalini,nimepata placement baba bado yupo serikalin hajastafu 😁😁Uhakika upo ni ipo chini ya UN lakin contract ikiisha miaka 3 kurenew sio rahis Sana maana katoka mtu Mimi ndio nikaingia
Kwenye taasisi Kuna wanoko wengi wapo mpaka humu wangejua ingekuwa shidaHahahahaha! Aisee ulipata placement? Na nini hasa ilikuwa sababu ya kupotea ghafla. Humu tumekuwa kama ndugu japo hatujuani, tuliwaza pengine umefikwa na jambo baya tukaumia sana kwamba tunakosa namna ya kukusaidia.
Siyo kweli. System inasoma wenye ajira kupitia check number na si vinginevyo!! Ukipata check number halafu ukaacha kazi, hapo ndio mwisho wa kufanya kazi kwenye utumishi wa umma!! Kibali cha kurejea tena lazima kitoke ikulu kwa katibu mkuu kiongozi!! Lakini kama hukuripoti kazini na haujapata check number wewe unasomeka kuwa haujapata ajira!Kuna siku niliwahi kuwauliza psrs ikitokea mtu amepangiwa kituo cha kazi halafu asiende kuripoti inakuwaje wakanijibu kuwa huyo mtu hatokuja kupata tena kazi katika utumishi wa umma kwasababu system itakuwa inamsoma kama alishapata kazi nikajiuliza sana anyways mkuu dav_ kama bado uko under 30 na bado una ndoto za kuendelea kuajiriwa bora uingie government kutokana na hiyo sababu niliyokutajia hapo juu
Ok okSiyo kweli. System inasoma wenye ajira kupitia check number na si vinginevyo!! Ukipata check number halafu ukaacha kazi, hapo ndio mwisho wa kufanya kazi kwenye utumishi wa umma!! Kibali cha kurejea tena lazima kitoke ikulu kwa katibu mkuu kiongozi!! Lakini kama hukuripoti kazini na haujapata check number wewe unasomeka kuwa haujapata ajira!
MOST CORRECT.Siyo kweli. System inasoma wenye ajira kupitia check number na si vinginevyo!! Ukipata check number halafu ukaacha kazi, hapo ndio mwisho wa kufanya kazi kwenye utumishi wa umma!! Kibali cha kurejea tena lazima kitoke ikulu kwa katibu mkuu kiongozi!! Lakini kama hukuripoti kazini na haujapata check number wewe unasomeka kuwa haujapata ajira!
Nmekupata vizuriHakuna tatizo lolote maana ukiingia kwenye system iyo J inaonesha John cha msingi herufi zifanane
Hii ipo kwenye vyeti vingi vya form four na form six uwa vinakuwa na initial letter kwa jina la katikati ili wala siyo tatizo na watu wapo kibao kazini wanalamba asali kwa majina ayo ayo.
Hongera sana kakaWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana trade officer ,Hawa psrs ni watu wema sana japo wengine bado hatujafikiwaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sanaaaaaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Kuwa na subira mzee,Mungu atatenda tuAisee najiona nimebaki peke angu ehe mungu nikumbuke.
Tupo wakongwe wa ujobless mkuu hatukati tamaa na ndugu yetu mfwende sawadogoAisee najiona nimebaki peke angu ehe mungu nikumbuke.
Trade officer kafanye kazi kwa welediNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Umekuwa Trade officer wa Halmashauri gani?Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Endelea na NGO kama umri bado inaruhusu kabla ya mkataba wa miaka 3 kuisha anza kuomba tena kazi psrsMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Thank you dearHahaha sijasahau aisee… hongera sana all the best ukawe mtumishi mwema
Tayar na kachanga juu,labda niongeze wa pili sasaAsee hongera sana mdogo wetu nikwambia ipo siku utatoa ushuhuda humu na Mungu Ametenda.
Sasa tafuta mchumba uolewe utulie