Nenda serikalini hata kama una umri mdogoMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month