mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Kwenye tangazo walisema atakayekuwa shortlisted ndiye atakakepewa taarifa. Sasa kama taarifa ya shortlisting isipokuwa public watu wataachwa kwenye mataa wakisubiri.et jaman TRA watu washaitwa kimya kimya anaejua plz atujuze
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app