HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Vip kuhusu hii.
Majina kwenye vyeti vya taaluma ni Ahmed J Mugisha. Lakin nida na cha kuzaliwa n ahmed John Mugisha. Kuna shida pia sio?
Kuna shida kidogo apo maana J anaweza akawa yoyote John, Jackson. Kwenye interview unaweza ukaruhusiwa bila shida maana wanaangaliaga na picha pia, ila kazini kama mwajiri ni mnoko anaweza kukukomalia
 
Wazee kuna taasisi zinawataka watu, yani raia wakienda kuripoti hawawaachii...ni mwendo wa kukamilisha. taratibu zote chaap...ukiona taasisi yako inasuasua ujue hawana KIBUNDA, au wanakuonea gere WATU WAO wapo Mule wanajitolea au MKATABA..ila WALIKANDWA DOM
Daaaah kumbeee😳
 
Hivi inakuwaje taasisi x inafanyisha interview placement bado lkn lakini baada ya miezi kadhaa zinatangazwa kazi na watu wanaitwa interview za hapohapo taasisi x placement zinatoka zinatangazwa zingine mchakato unapita na placement zinatoma tena wakati huohuo placement za interview zilizotangulia bado zipo pending.
Hii vipi wazee au ndo watu wote wamekandwa??
 
Vip kuhusu hii.
Majina kwenye vyeti vya taaluma ni Ahmed J Mugisha. Lakin nida na cha kuzaliwa n ahmed John Mugisha. Kuna shida pia sio?
Hakuna tatizo lolote maana ukiingia kwenye system iyo J inaonesha John cha msingi herufi zifanane

Hii ipo kwenye vyeti vingi vya form four na form six uwa vinakuwa na initial letter kwa jina la katikati ili wala siyo tatizo na watu wapo kibao kazini wanalamba asali kwa majina ayo ayo.
 
Kuna shida kidogo apo maana J anaweza akawa yoyote John, Jackson. Kwenye interview unaweza ukaruhusiwa bila shida maana wanaangaliaga na picha pia, ila kazini kama mwajiri ni mnoko anaweza kukukomalia
Naomba kukurekebisha kidogo afisa

Shida inakuja iwapo iyo J imeandikwa John kwenye kitambulisho then kwenye system ionekane Joni

I mean kama kutakuwa na utofauti wa herufi kwenye kuandika kirefu cha ilo jina ila kama vinafanana kila kitu ili wala siyo tatizo kabisa.
 
et jaman TRA watu washaitwa kimya kimya anaejua plz atujuze

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Bado kiongozi wakitoa taarifa itakufikia

Kama unajijua ulifata taratibu zote vizuri kabisa endelea na maandalizi taratibu maana kuna hatari ya majina kutoka alafu muda wa maandalizi ukawa mchache.

Kwa wakongwe wanaelewa ili swala.
 
asante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifa

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Iz shuhuda za watu kulamba asali humu kupitia psrs bila ya connection zinanipa nguvu sana, saiv call yeyote for interview nikiitwa ata kama ni nafasi 1 ntaenda, post yeyote ntakayokuwa na kigezo ntaomba, ntaziongeza izo received.
HONGERENI SANA NYOTE MLIOLAMBA ASALI MKAWE WATUMISHI WEMA NA WACHAPA KAZI.
Nimependa hii SPIRIT...
 
😂😂😂😂 Furahi nao Tu, kikubwa uzima😂😂😂 wajibu kwa kujiamin sasa
Tunaishinao tu MASTA....wanangu humu wote TUTATOBOA tu....nawaibia SIRI...mule ndani TUNAHESHIMIKA sana, wanasema MIKANDO ya DOM simchezo na WAZEE wa CONTENT tuendelee kukaza....
Maana ukiona usaili ujue wapo wanaojitolea mule, ila wanaenda DOM kwa KUJIAMINI KUPITILIZA...kwahiyo TURUKENAO TU MAZEE...hawatuwezi MAJOBLESS...
 
Wazee kuna taasisi zinawataka watu, yani raia wakienda kuripoti hawawaachii...ni mwendo wa kukamilisha. taratibu zote chaap...ukiona taasisi yako inasuasua ujue hawana KIBUNDA, au wanakuonea gere WATU WAO wapo Mule wanajitolea au MKATABA..ila WALIKANDWA DOM
Mi mwenyewe taasisi niliyopata siku niliyoriport nilikamilisha taratibu zote ndani ya masaa matatu, na siku hiyo hiyo nikaambiwa niandike barua ya kuomba Hela ya kujikimu, kesho yake nikaambiwa nianze kazi. Process za kufanya confirmation Necta ziliendelea nikiwa kazin. Baada ya siku tatu nikapata hela ya kujikimu. Kwakifupi hakukua na usumbufu wowote
 
Ni mwendo wa asali tuuu...
 
Back
Top Bottom