HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kama level wapo sawa na jamaa yake ku edit ni simple, ila kama Mmoja ana BACHELOR na MWINGINE ana DIPLOMA...
Hilo tatizo hawezi akalitatua Bila kuandika BARUA..
Hiyo siku hizi wameitia pini, wamepunguza goli naona labda mwanzo walipata madereva wenye DEGREE sijui.. 🤣 🤣
Kuna jamaa alikosea akawapigia it alimsaidia kufuta account yake akafungua upya. Ukishaupload cheti sio rahisi kukifuta tena
 
Wala usipoteze muda sijui kuedit nenda ofisi za psrs au wapigie waeleze tatizo lako watafuta account yako then utaanza kujaza upya taarifa
Hapa kwenye kufuta akaunti ndio ninawaza maana nimefanya usaili last month - June kabla ya changamoto hii kutokea na ninasubiri placement Mungu akijalia.
Vipi wakifuta akaunti na kujaza taarifa upya si kwenye system itaonekana sijawahi omba kazi yoyote na kufanya oral interview ?
 
Mwambie IT atakusaidia nini cha kufanya.
Anaweza asifute account akaondoa vyeti akakwambia upload tena upya.
 
Hapa kwenye kufuta akaunti ndio ninawaza maana nimefanya usaili last month - June kabla ya changamoto hii kutokea na ninasubiri placement Mungu akijalia.
Vipi wakifuta akaunti na kujaza taarifa upya si kwenye system itaonekana sijawahi omba kazi yoyote na kufanya oral interview ?
Wapigie PSRS( IT wao) mueleze shida yako na jinsi unavyotaka akufanyie mabadiliko.

Lakini kitu ambacho huwa hakitaki kufutika ni Qualification uliyoiweka mf Bachelor Degree ila ukataka uifute ibaki Diploma hapo hautaweza.

Kuhusu kubadili vyeti haina shida kabisa, kuna option ya kuedit na kuweka vyeti sahihi
 
Asilimia kubwa wamejawa na ubinafsi, hawana uzalendo yaan wanaishi kwenye hii nchi kama vile wanapita Tu watahamia nchi nyingine.

Asilimia kubwa wamejawa na ubinafsi, hawana uzalendo yaan wanaishi kwenye hii nchi kama vile wanapita Tu watahamia nchi nyingine.
Hali mbaya alafu bado utakuta vijana wanakaa kusifia ujinga na wengine ni wasomi kabisa, swala la ajira kwenye nchi hii halijapewa kipaumbele kabisa, limekaa kisiasa sana
 
ukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la

1.matokeo ya oral
2.uwazi wa database

yote sababu ratio ya fursa za ajira na wasaka ajira = 000.1 kabisa.
unaweza pasua oral lkn umezidiwa na wenzio ukawa database na nafasi isipatikane !je ukiwekwa wazi c utawalaumu sana psrs!

vibali vya ajira vyenyewe vinatoka kutokana na mood ya rais then utumishi wanawapa mandate Secretariat waendeshe mchakato mzima wakuu tuendelee kukaza japo ni kweli mtaa unatu dhalilisha majobless
Huo ndio ukweli, ila hilo somo ni gumu sana kueleweka kwa baadhi ya watu humu na hawawezi kuustahimili ukweli huo!! Kuna watu wengine hufurahia kuambiwa uongo na hukasirika wakiambiwa ukweli, kama ukweli huo uko tofauti na jinsi wanavyoamini wao!! Ni sawa na senene anayeamini kuwa amejificha na hakuna anayemwona kwa kuwa tu yeye hamwoni mtu yeyote baada ya kuficha kichwa chake kwenye nyasi!!. Kama ukimwambia senene ukweli kuwa, japo ameficha kichwa lakini mwili wake bado unaonekana, yamkini anaweza kukasirika sana, maana ukweli huo ni tofauti kabisa na ufahamu wake wa muda wote!! Ila kitu kizuri ni kwamba katika jamii, watu walio wengi huweza kuvumilia mawazo mbadala hata kama hawakubaliani nayo. Kuna watu wachache sana katika jamii, ambao hukasirika na hawawezi kuvumilia kabisa mawazo mbadala hadi hufikia hatua ya kutukana. Mawazo mbadala siyo lazima yawe sahihi na si lazima yawe ya kweli!! Chambua hoja zilizotolewa na ukiona kwa mtazamo wako kuwa siyo sahihi wala hapo haujafanya kosa lolote maana haulazimiki kukubali chochote unachokisikia. Ila kitu ambacho huwezi kukikwepa katika maisha ni:
1. ATHARI ZA KUUKATAA UKWELI
2. FAIDA ZA KUUKUBALI UKWELI
3. ATHARI ZA KUUAMINI UONGO.​
 
Back
Top Bottom