Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 501
Samahan naomba kufahamishwa maana ya TGS
Kagoogle mkuu utaipataSamahan naomba kufahamishwa maana ya TGS
Madiwani sio watu mkuu, unakuta diwani hana utaalamu wowote ila anabishana na mtaalam wa Halmashauri mpaka anamchongea katika baraza la madiwani ili upigwe chiniWakuu habari poleni na majukumu, nataka kufahamu kwanini watu wengi hawapendi kufanya kazi halmashauri na yupo radhi akafanye wizarani wakati kote huko salary scale ni moja ambayo ni TGS. Mfano mchumi wa halmashauri anayeanza kazi ataanza na TGSD1 na mchumi wa wizarani naye atakuwa na hiyo hiyo TGSD1.
Sasa kwanini mtu anataka wizarani kuliko halmashauri wakati salary scale ni moja ??
Cc: @mwifa
Tanzania Government SalarySamahan naomba kufahamishwa maana ya TGS
ShukraniPublic Service Recruitment Secretariat | PSRS
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Ummawww.ajira.go.tz
Hapo umekandwa mazima,,, Huwa hata database hutokei Mzeeh.Mim kwangu inasoma NOT SELECTED FOR ORAL na nadhani pdf lijalo majibu watatoa so nitajua mbichi nambivu kuhusu hizi status
Dah hatri mzee umeua mazima😅Hapo umekandwa mazima,,, Huwa hata database hutokei Mzeeh.
Kwa muktadha huu inaonesha Oral ilikukamata sana hata maswali matatu hukupatia..
Shukran mkuu, hivi hili suala la Status kuwa selected for oral n not selected for oral baada ya interview ya ORAL linahusiano na mtu kupata kazi? Kulingana na uzoefu wako hukoMm nawatia moyo endeleeni kupambana. Binafsi niliajiriwa kupitia mfumo huu na wala sikuwa namjua mtu, wala sikutoa chochote. Nilifanya interview mwezi 11 na nikaitwamwezi wa 3 what a wait [emoji2361]
Lakini pia taasisi niliyopo nimeshasimamia Saili zaidi ya 5 Psrs. Najua sana mambo huwa yanakwendaje.
All in all Utendaji wa haki ni zaidi ya 80% na 20% ni changamoto za kibinadamu.
hakikisha unafanya interview nyingi iwezekanavyo na hakikisha unaitwa Oral interview na unafanya. Utajiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata kazi serikalini.
Mfano kuwa rais wa TFF na rais wa chama cha soka wilaya ya Namtumbo na assume salary ni sawa. Utachagua nafasi IPI mkuu?Wakuu habari poleni na majukumu, nataka kufahamu kwanini watu wengi hawapendi kufanya kazi halmashauri na yupo radhi akafanye wizarani wakati kote huko salary scale ni moja ambayo ni TGS. Mfano mchumi wa halmashauri anayeanza kazi ataanza na TGSD1 na mchumi wa wizarani naye atakuwa na hiyo hiyo TGSD1.
Sasa kwanini mtu anataka wizarani kuliko halmashauri wakati salary scale ni moja ??
Cc: @mwifa
cc sekretariati ya ajiraHv hawa psrs mbona hawajirekebishi na wanafanya makosa Kila siku.
Naombeni kuuliza kwani hizi kazi za academician (tutorial assistant and assistant Lecturer) huwa hazina database au kanzidata haitumiki kwao.
Maana imekua kero post unakuta ni 1 mnafanya usahili then mwezi ujao tena wanatangaza kazi post zilezile na kada zilezile, asa unajiuliza hivi ni wote wanafeli au shida ipo wapi au wanarudia kutangaza ili wapate posho washibishe utumbo mpana .
Aaah sio poa hata kidogo jobless tunateseka mno kurudiarudia sahili Kila siku lakin placement hazitolewi.
Kama hivyo database ifutwe tu au matokeo ya oral yatolewe tujue moja
Wakitoa placement hawatoi idadi ikiwa imekamilika mfano MDA & LGA tulizopiga interview January Yani tunateseka Hadi sasa placement hazijakamilika na wanatoa kidogo kidgo cha ajabu ni nini washatangaza tena kazi za MDA LGA post zilezile tena kama sio kichekesho ni nini.
Ukija placement wanatoa vidf vidogovidogo wanakatakata kuwapumbaza watu kwanini kama tumefanya usahili siku moja iweje placement inatoka Kila mtu mwezi wake?
Pole sana mkuu mambo ya PSRS ynaumiza sana kichwa hamna namna ni kuwa tu wapole wakt ukifika mung atatenda jambo lakeHv hawa psrs mbona hawajirekebishi na wanafanya makosa Kila siku.
Naombeni kuuliza kwani hizi kazi za academician (tutorial assistant and assistant Lecturer) huwa hazina database au kanzidata haitumiki kwao.
Maana imekua kero post unakuta ni 1 mnafanya usahili then mwezi ujao tena wanatangaza kazi post zilezile na kada zilezile, asa unajiuliza hivi ni wote wanafeli au shida ipo wapi au wanarudia kutangaza ili wapate posho washibishe utumbo mpana .
Aaah sio poa hata kidogo jobless tunateseka mno kurudiarudia sahili Kila siku lakin placement hazitolewi.
Kama hivyo database ifutwe tu au matokeo ya oral yatolewe tujue moja
Wakitoa placement hawatoi idadi ikiwa imekamilika mfano MDA & LGA tulizopiga interview January Yani tunateseka Hadi sasa placement hazijakamilika na wanatoa kidogo kidgo cha ajabu ni nini washatangaza tena kazi za MDA LGA post zilezile tena kama sio kichekesho ni nini.
Ukija placement wanatoa vidf vidogovidogo wanakatakata kuwapumbaza watu kwanini kama tumefanya usahili siku moja iweje placement inatoka Kila mtu mwezi wake?
Shukran mkuu, hivi hili suala la Status kuwa selected for oral n not selected for oral baada ya interview ya ORAL linahusiano na mtu kupata kazi? Kulingana na uzoefu wako huko
Kuwa wapole wakati tunaonewa na kuteswa inabidi tushikane na kupaza sauti Hadi ifike kwa waziri husika. Hi sio haki hata kidogo mbona kipindi cha katibu aliyepita kulikua hamna longolongo kama sasa hivi. Kipindi kile mkifanya usahili placement inatoka moja kwa wakati mmoja. Kuhusu kanzidata walikua wanatoa PDF lao Kila mwaka mpya wa fedha (rejea kwenye archives placement za July 2022 )Pole sana mkuu mambo ya PSRS ynaumiza sana kichwa hamna namna ni kuwa tu wapole wakt ukifika mung atatenda jambo lake
Tanzania Government Salary ScaleSamahan naomba kufahamishwa maana ya TGS
Hii ni ishu ya chuo husika na haihusiani na PSRS ambao wao wanakua waangalizi tu, kila kitu kinafanywa na chuo kikuu husika.Hv hawa psrs mbona hawajirekebishi na wanafanya makosa Kila siku.
Naombeni kuuliza kwani hizi kazi za academician (tutorial assistant and assistant Lecturer) huwa hazina database au kanzidata haitumiki kwao.
Maana imekua kero post unakuta ni 1 mnafanya usahili then mwezi ujao tena wanatangaza kazi post zilezile na kada zilezile, asa unajiuliza hivi ni wote wanafeli au shida ipo wapi au wanarudia kutangaza ili wapate posho washibishe utumbo mpana .
Aaah sio poa hata kidogo jobless tunateseka mno kurudiarudia sahili Kila siku lakin placement hazitolewi.
Kama hivyo database ifutwe tu au matokeo ya oral yatolewe tujue moja
Wakitoa placement hawatoi idadi ikiwa imekamilika mfano MDA & LGA tulizopiga interview January Yani tunateseka Hadi sasa placement hazijakamilika na wanatoa kidogo kidgo cha ajabu ni nini washatangaza tena kazi za MDA LGA post zilezile tena kama sio kichekesho ni nini.
Ukija placement wanatoa vidf vidogovidogo wanakatakata kuwapumbaza watu kwanini kama tumefanya usahili siku moja iweje placement inatoka Kila mtu mwezi wake?
naunga mkono.ukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la
1.matokeo ya oral
2.uwazi wa database
yote sababu ratio ya fursa za ajira na wasaka ajira = 000.1 kabisa.
unaweza pasua oral lkn umezidiwa na wenzio ukawa database na nafasi isipatikane !je ukiwekwa wazi c utawalaumu sana psrs!
vibali vya ajira vyenyewe vinatoka kutokana na mood ya rais then utumishi wanawapa mandate Secretariat waendeshe mchakato mzima wakuu tuendelee kukaza japo ni kweli mtaa unatu dhalilisha majobless
wanasikia na kizuri zaidi, wengi wao ni wadau wa huu uzi sana nawambieninaunga mkono.
Chakufanya wafupishe muda wa mchakato wa usaili hadi placement kutoka. Kiukweli tunateseka ayseee kwan sauti zetu haziwafikii.
Tunadhalilika sana asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la