HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Yeye ana elimu gani na wewe una elimu gani?
 
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Kufuta huwezi mpaka uandike Barua kwenda PSRS halafu wapigie au kama upo karibu na ofisi zao uende.
 
Vijana wa kitanzania hususan wasomi tuungane tuwe wamoja tuzungumze kwa sauti moja hii nchi ni yetu sote
Itaendelea kutuumiza kama tutakaa kimya na kuendelea kuwa waoga kusema, kila mwaka kuna wahitimu lukuki wanaingia mtaani lakini serikali yetu iko kimya hakuna jitihada zozote za kujaribu kupunguza hili kundi la jobless mtaani zaidi sana wamekuwa wakisubiri kututumia kisiasa kipindi cha uchaguzi ili wapate kura...sina data kamili lakini naamini majobless ni wengi kuliko hao wanaopata nafasi ya kuajiriwa na bado kila mwaka wanaingia mtaani wengine...sina maana wote tuingie kwenye mfumo wa ajira wa serikali hapana ila serikali inapaswa iwe na ubunifu kutengeneza fursa mbalimbali ambazo ziko wazi na zinazofikika na kila mmoja, ila serikali kukaa kimya hivi ni kuonyesha kuwa 90% ya wanaotuongoza hawastahili kuwa hapo mbaya zaidi na vijana hatuna muunganiko wanatufanyia wanavyotaka..
Hata nyie wengine mnaobahatika kupata msidhani mko safe mna nafasi pia katika hili push kwa nafasi yako
#MATOKEOYAORALNIHAKIYETU
 
Tatizo hili la ajira kama halitotaftiwa ufumbuzi wa haraka litatishia usalama na amani ya nchi
Kama kijana jitathmini anza kupush hii ishu iko serious sana.. Kwa pamoja tukilisemea hili itasaidia kuwaamsha viongozi wetu waliolala...hii nchi ni yetu sote tunaipenda sana but kuna mambo hayako sawa
 
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Pole mkuu, Ivo unaedit Tu. Simple sana
 
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Nenda kwenye ku edit upande wa attachment.

Then upload Tena Cheti chako.
 
Huoni hapo aki edit cheti cha jamaa yake kitabaki pia vip kweny kuapply akashindwa kuitwa kweny Interview wakamwambia ameweka vyeti vyenye majina Tofauti??
Kama level wapo sawa na jamaa yake ku edit ni simple, ila kama Mmoja ana BACHELOR na MWINGINE ana DIPLOMA...
Hilo tatizo hawezi akalitatua Bila kuandika BARUA..
Hiyo siku hizi wameitia pini, wamepunguza goli naona labda mwanzo walipata madereva wenye DEGREE sijui.. 🤣 🤣
 
Ila ukichezesha asali hauwezi kulamba, Maana Index number Yako ya FORM FOUR ndo kila kitu, ikitumbukizwa TCU...inaleta majibu ...ikitumbukizwa NACTE inasema...So Hadi PDF ya asali inatoka na jina lako..ujue umesakwa kila Angle.
 
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
Wala usipoteze muda sijui kuedit nenda ofisi za psrs au wapigie waeleze tatizo lako watafuta account yako then utaanza kujaza upya taarifa
 
Back
Top Bottom