HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
ukiwa unapitia pumzi ya moto ya mtaa, kila jambo la psrs unaona hawako fair kabisa. ila ukweli ni kwamba kuna vitu hata tuvipiganie vipi ningumu kufanyiwa kazi ikiwemo la

1.matokeo ya oral
2.uwazi wa database

yote sababu ratio ya fursa za ajira na wasaka ajira = 000.1 kabisa.
unaweza pasua oral lkn umezidiwa na wenzio ukawa database na nafasi isipatikane !je ukiwekwa wazi c utawalaumu sana psrs!

vibali vya ajira vyenyewe vinatoka kutokana na mood ya rais then utumishi wanawapa mandate Secretariat waendeshe mchakato mzima wakuu tuendelee kukaza japo ni kweli mtaa unatu dhalilisha majobless
Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
 
Wanachofanyisha watu interview post zilezile Kila siku si upuuzi na kujitafutia posho tu. Hawajali jobless tunateseka kiasi gani. Mfano labda wanahitaji wahasibu let say 100 wanashindwa nini kuorginize usahali at once then wakawapata hao wahasibu kuliko daily advertisement na interview post zilezile na ukiangalia wasailiwa ni haohao.
Hii torture ni kubwa na inasababisha mlundikano wa placement na hata database haiwezi kutumika vizuri.
Pia placement hazitoki Kuna jamaa alinipa siri wanafanyisha usahili Kila mara kusudi wapate posho washibishe utumbo mpana ndio lengo lao.
Huwezi niambia ulihitaji civil engineer 1 taasis x watu wamefanya usahili ukampanga mmoja alaf kipindi hicho hicho taasis Y inatoka engineer 1 tena alafu unaitisha tena usahili hapo huoni ni usumbufu na gharama both jobless na serikali.

Kwanini utumishi wa umma wanatangaza kazi post zilezile tulizofanya usahili Kila siku
Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
 
Hivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
 
Sikuhizi wanadhibiti sana multiple placements. Uwezekano huo ni mdogo mno kuelekea kwenye haupo kabisa.
 
Hivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
Inategemea interval ya placement moja na nyingine. Kama placement moja imetoka January na nyingine June inawezekana kabisa.
 
Screenshot_20230720_094355.jpg

Sijui nilitaka kuwashauri nini jobless wenzangu, ila bango ni hilo.

TUKABIE JUU
 
Hata miminimeshangaa kule juu kuna mdau kasema waweke hadi SELECTED FOR DATABASE [emoji16][emoji16] Leo hii umepata 50 sijui 60 halafu mko 2998 huko na kila siku watu wanafanya interview na kupata marks za juu usipofikiwa si bado utalaumu
Babu TUTAANGALIA HEAD to HEAD...kama kwenye mpira TU, tutaangalia magoli ya kufunga na kufungwa...hawawezi kufanana kila kitu.
 
Hivi wadau Kuna uwezekano wa mtu kupata placement mbili kwenye interview mbili tofauti?mfn mtu amefanya usahili TPdc,then akafanya Tena usahili LGAs na MDAs, placement ya Lg ikawahi kutoka,kapangiwa halmashauri x,je Kuna uwezekano wa kuitwa Tena TPDC km alifanya vizuri??
Uwezekano upo mkubwa sana kwa sababu pia nmeona kwa marafik zangu ikitokea hvyo
 
Babu unataka ushushe kiwango chako cha ELIMU ama?
Kwanza eleza CHANGAMOTO gani unakabiliananayo ili upewe USHAURI mzuri, je? Kwanini unataka UFUTE VYETI?
Kuna mtaalamu mmoja aliniiomba PC ajaze taarifa zake kwenye ajira portal, Kwa bahati isiyo nzuri akawa amejaza taarifa zake za kitaaluma kwenye akaunti yangu ikiwa ni pamoa na Ku'upload Cheti chake kwenye akaunti yangu.

Hivyo, nataka nifute taarifa zake kwenye akaunti yangu.
 
Back
Top Bottom