kiri12
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 638
- 558
KIFO KIBAYA SANA HIKI...😅😅😅😅Mjadala wa status unakuwaga mzito humu, sasa kwa huo ushuda wako kwa IT naona utaenda kukusa nguvu humu
Na watateseka sana na ishu za status 🤣Kesho kuna kundi lingine kubwa litaongezeka kwenye hii chain ya kuteseka watu wa community development wakitoka kwenye oral😂😂😂😂
Sijaelewa hapo akacheki jina lako wapi kwenye matokeo ya oral au wapiHonest nilikuwa nime focus kwenye status maana wadau walitaka kuniua kwa presha umu
Ko akalicheki jina langu akaona liko fresh akasema subilia mkeka, kutokana na panelists walivyokujazia
Nikamdadavua kwa mbali kuhusu placement akasema inatokana na burget ya taasisi husika
Huyo jamaa yuko pisi Sana unaweza kumpigia akakupa majibu yote
Ila kuwa mvumilivu huwa anakuwa busy Sana na simu anapokea mara moja moja
Ni mtu safi Sana.
Kwa ili swala la budget kuna mdau pia alishalitoleaga ufafanuzi makofia360Honest nilikuwa nime focus kwenye status maana wadau walitaka kuniua kwa presha umu
Ko akalicheki jina langu akaona liko fresh akasema subilia mkeka, kutokana na panelists walivyokujazia
Nikamdadavua kwa mbali kuhusu placement akasema inatokana na burget ya taasisi husika
Huyo jamaa yuko pisi Sana unaweza kumpigia akakupa majibu yote
Ila kuwa mvumilivu huwa anakuwa busy Sana na simu anapokea mara moja moja
Ni mtu safi Sana.
😂😂😂😂Na watateseka sana na ishu za status 🤣
Tena ni KUNDI KUBWA sana..maana idadi ya walioingia ORAL ni wengi mnoo...kwahiyo watu wenye MSONGO wa MAWAZO WATAONGEZEKA NCHINI.Kesho kuna kundi lingine kubwa litaongezeka kwenye hii chain ya kuteseka watu wa community development wakitoka kwenye oral😂😂😂😂
Hawataamini macho yao[emoji1787][emoji1787]Na watateseka sana na ishu za status [emoji1787]
Tuwasubirie wa CDOKIFO KIBAYA SANA HIKI...😅😅😅😅
Kesho kuna UKANDAJI MKUBWA mnoo...wapo kwenye VIKAO vya MWISHO-MWISHO...
Kwahyo pdf tutarajie jumatano na kuendelea.Kesho kuna UKANDAJI MKUBWA mnoo...wapo kwenye VIAKO vya MWISHO-MWISHO...
Huku waliolamba asali wakiendelea kuchukua BARUA ZAO...kwa wingi....DODOMA imekuchaaa..
Hawa ndo nasikia ilikua balaah, watu wameenda kwenye usaili na watoto wa miezi mitatu, mtu yupo kwenye line anafatwa, mtoto analia twende ukamnyonyeshe...Tuwasubirie wa CDO
Lolote linawezekana, na usishangae Ngoma ikaenda August....Kwahyo pdf tutarajie jumatano na kuendelea.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Ampigie teena aseeh..halafu atujuze...Haukumuuliza hili swali kwamba kwa nini wanatumia muda mrefu kutoa placement😂😂😤😤
Nop kwenye matokeo ya written waliochaguliwa kuingia oral.Sijaelewa hapo akacheki jina lako wapi kwenye matokeo ya oral au wapi
Anhaaa okayNop kwenye matokeo ya written waliochaguliwa kuingia oral.
😳😳😳😳 duuuh asali zinasakwa sio poaHawa ndo nasikia ilikua balaah, watu wameenda kwenye usaili na watoto wa miezi mitatu, mtu yupo kwenye line anafatwa, mtoto analia twende ukamnyonyeshe...
Na hapo ukute mtu ndo interview yake ya kwanza kila siku anakuwa anafikiria kwamba majibu yanatoka kesho kumbe asijue inachukua miezi na miezi 😂😂😂Na watateseka sana na ishu za status 🤣