HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanamaanisha nn kufanya hvy kwenye system..kwann wasiongeze kwenye kuita watu kazini kwenye kitengo hicho..
Ni changamoto kweli, lakini nadhani ni protocol tu ili mambo yote yawe wazi. Kama nafasi ni 2 basi ziwe mbili watu wajue idadi halisi inayohitajika, kuliko kuandika nafasi 1 labda watu wengine watakata tamaa ku-apply
 
Ni changamoto kweli, lakini nadhani ni protocol tu ili mambo yote yawe wazi. Kama nafasi ni 2 basi ziwe mbili watu wajue idadi halisi inayohitajika, kuliko kuandika nafasi 1 labda watu wengine watakata tamaa ku-apply
IT inaonekana hana cha kupost kaona angalau social network ihamia kwenye system ya Utumishi ila haina maana yoyote kufanya hivyo..Wasaka ajiri wanataka placement 6,000+ Psrs walizojinadi kwenye tangazo lao kukava nafasi za wazi walizosema ....Kuficha uzaifu wao kushindwa kutekeleza agizo la boss wao wa zamani Mh:Mhagama walilosema ni siasa zile.....
Mungu atusimamie wasaka ajira.....
 
IT inaonekana hana cha kupost kaona angalau social network ihamia kwenye system ya Utumishi ila haina maana yoyote kufanya hivyo..Wasaka ajiri wanataka placement 6,000+ Psrs walizojinadi kwenye tangazo lao kukava nafasi za wazi walizosema ....Kuficha uzaifu wao kushindwa kutekeleza agizo la boss wao wa zamani Mh:Mhagama.....
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamaa hawezi kukupa siri za ofisi ni kosa la jinai kutoa siri kama hzo ndomana wanaishia kukupa moyo tu, kama “NOT SELECTED For oral” usitegemee maajabu sana. Cha muhimu ni kuomba Mungu kama ridhiki ni yako utapata tu kwa wakati sahihi
Not selected for oral si inamaana hata oral hajafanya? Sasa mtu hujafanya oral interview placement unapataje?
 
Back
Top Bottom