HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi kuna kiporo cha placement cha mwaka jana 2022?

Kama kuna mdau ana mikoba ya MAZAGA ONE aorodheshe viporo vya placement ambazo bado na ni za muda mrefu.
Bila kuacha MUHAS, DUCE......
 
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral
Hongera sana mkuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni afisa mstaafu wa serikali. Nimestaafu tangu 2019. Ninakula pension tamu ya serikali!! Nipo hapa ili kuchangia sehemu ambazo naona ninaweza kusaidia. Kwa mfano kuna watu wamekuwa wananiuliza maswali mbalimbali na kama wanachouliza nikawa nakifahamu, najisikia vizuri kutoa elimu hiyo. Kama sikifahamu nasema sikifahamu.

Ww si mstaafu, bado ni kijana mwenzetu sema uko upande wa pili.(Walamba asali)

Sio kwa uwezo mkubwa huo uliokuwa nao wa kupambana na vijana majobless kwa kutumia keyboard.
 
Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]

Hongera sana,

Ukawe mtumishi mwema mwenye kufata taratibu na misingi ya kazi yako

Pia, kutoa Shukurani kwa mafanikio hayo.
 
Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa🙏

Hongera sana mkuu,

Nakuombea ukawe mtumishi bora kabisa. Pia kumbuka kutoa shukurani kwa mafanikio hayo.

Bila kusahau kujipongeza pamoja na ndugu na jamaa zako.
 
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral

Hongera kwa kulamba asali

Mpaka sasa tumeshaprove ili upate Placement lazima status iwe inasoma “Selected for oral” both app and web [emoji736].
 
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral

Hongera sana ndugu,

Hakika wakati wa Mungu ni wakati sahihi kabisa. Nakutakia mafanikio mama katika majukumu yako mapya.

Kumbuka kutoa Shukurani kwa hatua hyo uliopata katka maisha yako. Pia, jumuika na ndugu na jamaa kujipongeza kwa hatua hio.
 
Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona

Sent using Jamii Forums mobile app

Hongera sana mkuu,

Nakutakia safari njema katika majukumu yako mapya, kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo.

Pia, jumuika na ndugu na jamaa zako wa karibu kufurahia mafanikio hayo.
 
Back
Top Bottom