HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera nyote mliopata placements.
Sipati picha mlivyo na furaha.

Kwa wale mnaoendelea kusubiri placements Mungu akanyoshee mkono. next time is yours

Speaking on behalf of woote ambao hatujawahi piga oral huko psrs. Tusikate tamaa pia. Next time is ours.

Bila kusahau new graduates ambao hawajawahi piga ata written. Karibuni kweny pambano na Kazeni buti pia.
 
Hiyo si status ukichaguliwa Oral interview? Ina uhusiano gani na placement?
Ana maanisha kua ukishaingia Oral baada ya Interview Status ikibaki hivyo hivyo Kweny App yaani '"Selected for oral" kuna uwezekano wa kulamba Asali tofauti na Status kua "NOT SELECTED FOR ORAL"
 
Ww si mstaafu, bado ni kijana mwenzetu sema uko upande wa pili.(Walamba asali)

Sio kwa uwezo mkubwa huo uliokuwa nao wa kupambana na vijana majobless kwa kutumia keyboard.
Sina sababu ya kudanganya, kudanganya hakujawahi kumsaidia mtu, hakuna tija katika kudanganya, nidanganye ili iweje?

Flp 3:20 SUV​

Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo!
 
Mkuu mbona baadhi ya ajira zipo kwenye tangazo ila kwenye ajira portal hazijawekwa
 
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral
Hongera sana Mungu akubariki.
 
Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.

Emeeeh
Hongereni
 
Big up kaka,wkt sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu
 
Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.

Emeeeh

Hongera sana mkuu,, ukawe mtumishi mwema

kila la kheri
 
Back
Top Bottom