HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Anko kwan wewe unajishughulisha na nn?

Kwa madini haya wewe sio jobless kabisaaa😄😄😄.
Mimi ni afisa mstaafu wa serikali. Nimestaafu tangu 2019. Ninakula pension tamu ya serikali!! Nipo hapa ili kuchangia sehemu ambazo naona ninaweza kusaidia. Kwa mfano kuna watu wamekuwa wananiuliza maswali mbalimbali na kama wanachouliza nikawa nakifahamu, najisikia vizuri kutoa elimu hiyo. Kama sikifahamu nasema sikifahamu.
 
PDF ilikua nzito , Tupige maombi irudi
Cha ajabu ni kwamba database haina watu 🙄🙄🙄 au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile
Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict information officer, trade officer, mwandishi mwendesha ofisi, muuguzi, afisa tehama, fundi sanifu, afisa mifugo, afisa usafirishaji, afisa misitu etc
Hizi zote watu si wamefanya usahili wengi kwenye LGA and MDA na mpaka sasa placement hazijakamilika hata idadi ya tangazo walilotaka.
Je ni kweli database haina watu Hadi washindwe kuwachukua na kuanza tena kuitisha usahili upya
Yani jobless tunateseka mno ni bora ijulikane hamna kazi kabisa kuliko kutoa matangazo na usahili daily lakin placement hazitolewi kwa wakat na zikitoka ni chache kuliko idadi iliyotangazwa 🙄🙄🙄🙄🙄
 
Shukrani kwa kuzidi kutupatia nondo kiongozi. Hivi tofauti ya D1 na D12 ni nini? Yani naomba utufafanulie ili tuweze kuelewa zaidi.
TGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.

In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.

Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
 
Cha ajabu ni kwamba database haina watu [emoji849][emoji849][emoji849] au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile
Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict information officer, trade officer, mwandishi mwendesha ofisi, muuguzi, afisa tehama, fundi sanifu, afisa mifugo, afisa usafirishaji, afisa misitu etc
Hizi zote watu si wamefanya usahili wengi kwenye LGA and MDA na mpaka sasa placement hazijakamilika hata idadi ya tangazo walilotaka.
Je ni kweli database haina watu Hadi washindwe kuwachukua na kuanza tena kuitisha usahili upya
Yani jobless tunateseka mno ni bora ijulikane hamna kazi kabisa kuliko kutoa matangazo na usahili daily lakin placement hazitolewi kwa wakat na zikitoka ni chache kuliko idadi iliyotangazwa [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kiukweli hapo niko Dilema yahn kuna kada tayari zishafanya saili na watu database hopeful watakuepo,,Nabak najiuliza why inakua ivo but Nahisi waajiri hawataki watu kutoka database
 
It takes a strong person to forgive!! Granting forgiveness is not weakness but strength!! Kuna watu walifundishwa matusi walipokuwa wanatukanwa na wazazi wao! Watu kama hao ni wa kuwahurumia tu na kuwasamehe bure!! Mtu anayeamini kuwa kubadili simu ni sababu itakayowafanya watu waamini kuwa ndiyo iliyosababisha abadili akaunti!! Can you imagine such reasoning from the so called "mature" person!!
Usiwaze mkuu poleni sana.
 
Mimi ni afisa mstaafu wa serikali. Nimestaafu tangu 2019. Ninakula pension tamu ya serikali!! Nipo hapa ili kuchangia sehemu ambazo naona ninaweza kusaidia. Kwa mfano kuna watu wamekuwa wananiuliza maswali mbalimbali na kama wanachouliza nikawa nakifahamu, najisikia vizuri kutoa elimu hiyo. Kama sikifahamu nasema sikifahamu.
Ila unatupa faida nyingi anko shukran sana.
Sema unajua vitu vingi na unajitahidi kupangilia hoja mpaka nakaribia kukubali kwamba unaweza kuwa part of psrs😄😄😄.
Maana haya madini hawezi kuwa nayo jobless. ( Jokes).
Kingine kama kweli wewe ni mstaafu maana yake una age around 60 sasa na huu uzi ulivyokaa dizaini kama umeuzidi nguvu sana. 😃😃 Ukitoa point/ wazo mtu akicheki anajua huyu mtu sio bure lazima atakuwa jikoni huyu ( jokes).

Yote kwa yote nakukubali ankoo👍 unatupa maarifa naamini tukiwa kwa list ya pdf tutakutumia zaidi.

MUDA MWINGINE UWE UNATUDANGANYA MAADAM UONGO WAKO UTATUFANYA TUPATE NGUVU😂😂😂😂😂.

MATOKEO YA ORAL NI HAKI TETUUUU😎😎😎
 
TGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.

In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.

Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
Fungueni uzi wenu mkajadili mishahara
Maana huyu wakala wa psrs anatutoa kwenye lengo la uzi.
Tungeendelea kusukuma ajenda kwanini wanarudiarudia kutangaza post zilezile daily
abeche mfwende sawadogo
 
Mpotezeeni huyo amekuja kupotosha uzi na kututoa kwenye mada
Asa kazi zenyewe hatujapata tuanze kujadili mishahara badala ya kupaza saut psrs wajirekebishe na kutoa placement kwa wakat nyie mnakubali kuyumbishwa
jifunze kupokea mawazo kinzani nayale usiopenda kusikia.. usipende kusikilizwa ww tu haupo peke yako hapa kwenye uzi huu.. utakuja kupata ajira badae utarud hapa hapa kwenye huu uzi kuuliza mambo ya madaraja ya mshahara.. jamaa awe wakala au asiwe haituhusu sisi, imradi maelezo yake yanasaidia wengi hilo ndo lamsingi… kama maneno yake hayakusaidii pita hiv..
 
Mkuu ub
TGS D1 ni kianzia mshahara/salary entry point. Baada ya mwaka mmoja mwajiri wako anaweza kukupa nyongeza moja ya mshahara kutokana na utendaji wako wa kazi. In practice karibuni watumishi wote hupata nyongeza kama ikitolewa. Ila mwajiri anaweza akazuia nyongeza ya mwaka kama hajaridhishwa na utendaji wako wa kazi. Na akiam,ua hivyo lazima akupe hiyo taarifa kwa maandishi (hii hutokea nadra sana). Kwa hiyo ukipata hiyo nyongeza unakuwa TGS D2, na kwa ngazi hii nyongeza ya mwaka ni 15,000/= na mshahara wake ni 780,000/= Mwaka unaofuata ukipata nyongeza unakuwa kwenye TGS D3 mshahara wake ni 795,000/=. Itaenda hivyo mpaka unafika TGS D12 -930,000/= kwa mwezi.

In practice siyo rahisi mtu kufika TGS D12 labda kama serikali imeamua kusimamisha kupandisha vyeo. Vinginevyo baada ya miaka kama 4 hivi mtu akiwa ngazi ya TGS D4(at most), kutokana na utendaji mzuri wa kazi mwajiri hupandisha vyeo na mtu kuwa kwenye ngazi ya TGS E1 - 1,000,000/= kwa mwezi.

Kwa mfano mtu akiajiriwa kama Agricultural Officer II -TGS D1, baada ya miaka mnne anaweza kupandishwa cheo na daraja akawa Agricultural Officer I - TGS E1 - 1,000,000/=.
ubarikiwe sana hapa nimepata knowledge kama
 
Cha ajabu ni kwamba database haina watu 🙄🙄🙄 au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile
Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict information officer, trade officer, mwandishi mwendesha ofisi, muuguzi, afisa tehama, fundi sanifu, afisa mifugo, afisa usafirishaji, afisa misitu etc
Hizi zote watu si wamefanya usahili wengi kwenye LGA and MDA na mpaka sasa placement hazijakamilika hata idadi ya tangazo walilotaka.
Je ni kweli database haina watu Hadi washindwe kuwachukua na kuanza tena kuitisha usahili upya
Yani jobless tunateseka mno ni bora ijulikane hamna kazi kabisa kuliko kutoa matangazo na usahili daily lakin placement hazitolewi kwa wakat na zikitoka ni chache kuliko idadi iliyotangazwa 🙄🙄🙄🙄🙄
Ila lile tangazo Kuna baadhi ya post niliona wanataka watu wa certificate na diploma huenda kwenye database hawana hawa watu wanao wa degree tu mfano zile za lga na mda nyingi zilikuwa watu wa degree thats why naona huenda kwenye database wanao wa degree tu so hawawez wakachukua kwenye database mtu aliyefanya interview mwenye degree wakampanga sehemu wanayotaka mtu wa certificate au diploma. Huo ni mtazamo wangu
 
Ila unatupa faida nyingi anko shukran sana.
Sema unajua vitu vingi na unajitahidi kupangilia hoja mpaka nakaribia kukubali kwamba unaweza kuwa part of psrs😄😄😄.
Maana haya madini hawezi kuwa nayo jobless. ( Jokes).
Kingine kama kweli wewe ni mstaafu maana yake una age around 60 sasa na huu uzi ulivyokaa dizaini kama umeuzidi nguvu sana. 😃😃 Ukitoa point/ wazo mtu akicheki anajua huyu mtu sio bure lazima atakuwa jikoni huyu ( jokes).

Yote kwa yote nakukubali ankoo👍 unatupa maarifa naamini tukiwa kwa list ya pdf tutakutumia zaidi.

MUDA MWINGINE UWE UNATUDANGANYA MAADAM UONGO WAKO UTATUFANYA TUPATE NGUVU😂😂😂😂😂.

MATOKEO YA ORAL NI HAKI TETUUUU😎😎😎
My age is not that much a secret! I'm now 64!! Not much, not less!!. I'm retired but not tired!! I'm totally not part of PSRS!!. Naunga mkono: MATOKEO YA ORAL NI HAKI YA WASAILIWA!!
 
Back
Top Bottom