HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilikua nishaandika na barua kabisa naingia ajira portal nakuta hmn kitu 😂
Mamaee nchi ngumu hii 😃😃😃😃😃 ,halafu kazi kama mhandisi wa umeme hiyo post moja waliotoa ,si tumepiga interview Kwa Kada hiyo hiyo tena MDA and LGA mwezi wa sita na placement hata moja hawajatoa yet naona nafasi ya kazi ya mhandisi umeme , upuuzi gani huu hawa utumishi wanafanya ?
 
Ila mkuu asikwambie mtu, ukishaingia kwenye mrija wa asali hakuna mada zinabamba kama scale za mishahara,,, sijui kwa nn..
Me nikikuta tu majadiliano ya mishahara akili yote inastick Hapohapo😂
Hahaaaa ,Yakunle upo jamaa ? ,mishe zinaendaje ? , umepotea sana humu, Nikikumbuka huwa nacheka sana , kweli asali inaondoa hasira , wewe na yule jamaa mwingine anatumia ID ya Kyagata mlikuwa ngumi mkononi humu ,😄😄😄😄😄😄😄 ,mtu akikuzingua kidogo panachimbika humu 😄😄😄😄😄😄 , lazima mtoane damu 😄😄😄😄😄 ,utumishi hoyeeee.

Utumishi watoe asali aisee ,huu ukame mbona sio ?
 
Mamaee nchi ngumu hii 😃😃😃😃😃 ,halafu kazi kama mhandisi wa umeme hiyo post moja waliotoa ,si tumepiga interview Kwa Kada hiyo hiyo tena MDA and LGA mwezi wa sita na placement hata moja hawajatoa yet naona nafasi ya kazi ya mhandisi umeme , upuuzi gani huu hawa utumishi wanafanya ?
Ndio ushangae wengine tukisema tunaonekana waongo hata kazi za Tira mawakili sijui na insurance wamefanya interview juzi juzi tu.
Hata hizi za assistant account watu wamepiga interview juzi juzi tu na hamna placement yoyote ila wamekazana kutangaza upya ili wapate posho
 
Mamaee nchi ngumu hii [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,halafu kazi kama mhandisi wa umeme hiyo post moja waliotoa ,si tumepiga interview Kwa Kada hiyo hiyo tena MDA and LGA mwezi wa sita na placement hata moja hawajatoa yet naona nafasi ya kazi ya mhandisi umeme , upuuzi gani huu hawa utumishi wanafanya ?
Kuna taratibu mzee si kila kitu cha kulaumu
 
AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE II) hii kwenye tangazo Ipo lakin Ajira portal haijaweka msaada wakuu
 
Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
 
Hongera sana,
wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Mkuu, usisahau kumtolea Mungu shukrani, na
kupitia,Baraka hii ya kuitwa kazini na sisi wengine ambao bado tuzidi kumuomba
Mungu atufungulie milango.
 
Back
Top Bottom