HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]

Hongera sana Man, ukawe mtumishi mwema.
 
Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
@Giftedman tupe ushuhuda wa status kweny app na kweny web zilikuaje
 
Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
Hongera sana mkuu, kila la kheri kwenye majukumu mapya
 
Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa🙏
Hongera sana!! Mungu ni mwaminifu, cha maana ni kutokukata tamaa. Kakumbuke kuwa mtumishi mwema. Bila shaka ushuhuda wako wa kuvumilia na kufanya interview kwa miaka saba utawatia sana nguvu vijana ambao wanajaribiwa kukata tamaa na hata mwaka mmoja wa kufanya interview hawajamaliza.
 
Back
Top Bottom