HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral
 
Karibu kwenye asali na hongera sana.
 
Namshukuru Mungu. Na mimi nimelamba asali kupitia database, asanteni kwa kampani humu ndani ktk safari hii..haikuwa rahisi'
ktk kusubiri kuna stress nyingi sana..
Kwa miaka 6 sasa nimefanya interview zaid ya 10..
Hatimae nimepata placement ya oral tulofanya mwaka jana.

Status kote iko
Selected for oral
Hongera sana mkuu.
 
Hongera sana mwamba..
 
Hongera sana,
wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Mkuu,
usisahau kumtolea Mungu shukrani,
na
kupitia,Baraka hii ya kuitwa kazini na sisi wengine ambao bado tuzidi kumuomba
Mungu atufungulie milango.
Siku nasi tuje kutoa ushuhuda.
 
Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona

Sent using Jamii Forums mobile app

(Nimeamini utumishi wanatenda haki)[emoji118] hii sentensi ina nguvu na inatia moyo sana

Hongera sana,
wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.,
usisahau kumtolea Mungu shukrani,
na
kupitia,Baraka hii ya kuitwa kazini na sisi wengine ambao bado tuzidi kumuomba
Mungu atufungulie milango.
Siku nasi tuje kutoa ushuhuda.
 
Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_7676.jpg

Hongera sana jembe. Ama kwa hakika, Mungu ni mwema
 
Hatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ulivyokuwa unawapinga psrs kwa nguvu zote, asee kwel Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwema katika utumishi wako hongera sana kiongozi
 
Back
Top Bottom