Hongeraa sana aisee binafsi nimefurahi mno kupata kwako kazi nakumbuka ulikua ukilalamika sana humu hatimaye leo Mungu amekukumbuka nakutakia kila la heri katika utumishiHatimae leo na mimi nimelamba asali namshukuru mungu. nimepata kupitia Database. nimeamini utumishi wanatenda haki japo mwanzoni nilikata tamaa ila mungu kaniona
Sent using Jamii Forums mobile app