HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Am here to prove wrong.
Keki ya Taifa ineniangukia Jana nmelamba asalii baada ya kupigiwa simu nikiwa shambani na Jamaa yangu tulokutana kwenye Usaili na kunipa hongera zangu. Yeye pia kailamba asali hio.
Mungu katushika mkono.

Emeeeh
Hii itazidi kuwapa nguvu vijana, HAKUNA KUKATA TAMAA.
Ukiona haujapata tambua zamu yako Bado.
 
Hivi ni kwa nini huwa wanatoa majina nusu nusu kwa nini isingekuwa wakitoa placement za mwezi husika wanatoa majina ya wote waliofanya huo mwezi ili pdf ijayo waliofanya mwezi unaofuata wajiandae kusubiri huku wakijua kwamba wa mwezi wa nyuma walishaitwa wote waliofaulu🤔🤔🤔🤔
 
MAY naona kuna VITUO vinarukwa sana...daah..watu wana KIU
 
Back
Top Bottom