HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu samahani nahitaji msaada hapa kidogo. Unapo apply ajira portal baada ya kuandika barua unaandika Tena na CV ?? au CV inakua tu automatically Ile Ile ya pale uliyoitengeneza ajira portal ?? Nahitaji msaada kwa anaefaham tafadhari
Yani pale unapojaza hile form ndio unajaza cv yenyewe. Amna aja ya kuandika cv. alafu kule imejipanga poa sana mi huwa nikipata private sector naprint kule inatoka fresh namodified kidogo
 
Ndio idadi imepunguzwa kweli..ila alivyotuma tangazo na kusema 29 watatoka kwenye database nkahisi labda tangazo hilo ndo limetoa taarifa hiyo na nkalifungua kujihakikishia ila hakuna walikosema hao walopungua watatolewa kwenye database ndo nkabaki nashangaa au anazo za ndani ndani huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yeah hapo wamepunguza idadi naona hao 29 watachukua database maana Kuna post tayar wamefanya sana interview tuendelee kupaza sauti watasikia kilio chetu. Nikisema huyu mbingunikwetu ni psrs mwenyew mnakataa kunielewa 😂😂
Ni kweli hao 29 watachukua database ndio maana wakapunguza
 
Kahusiano kanaweza kuwepo kwa kuwekwa kwa database.......
It happened to me ndo maana naweza nkalisemea hiv
Kaka angu unaweza nifafanulia zaid unachomanisha, maana kwenye placement zetu nilizokosa pia naona kama database inafata marks za written na mm bado sijafikiwa ila walipata kutoka database naona wanaenda kwa trend ya marks za wrtten washapata watatu kutoka database mpaka sasa.
 
Unataka kusema wanaangalia vyote written na oral?, fafanua hapa.
 
Tangazo lile la ajira lililonyofolewa tayari wameshalitolea maelezo. Wameweka tangazo lingine baada ya marekebisho. Marekebisho yaliyofanyika ni bora sana!! Nafasi za ajira kwenye tangazo la awali ni 372 lakini baada ya kufanyiwa mabadiliko nafasi za ajira zikapungua na kuwa 343. Hii inaonesha nafasi 29 zilipungua. Hizi nafasi zimepungua kwa sababu wameamua kuchukua majina kutoka kwenye DATA BASE na watu 29 wakalamba asali kutoka kwenye data base. Hii inaonesha kilio kilio kinachotolewa humu kinasikilizwa!!
Taarifa ya mabadiliko ya tangazo hii hapa:

hapana sio kweli,
kuna nafasi zilijirudia ikiwemo ya land officer ndo maana zimepungua
 
Kaka angu unaweza nifafanulia zaid unachomanisha, maana kwenye placement zetu nilizokosa pia naona kama database inafata marks za written na mm bado sijafikiwa ila walipata kutoka database naona wanaenda kwa trend ya marks za wrtten washapata watatu kutoka database mpaka sasa.
Sio kweli ukisoma kanuni za PSRS utaona kua Matokeo ya Written ni mchujo. Kwa wale wa practical zinajumlisha oral na practical.
 
Hata ww usiwasahau wenzet wanaoendelea kupaza sauti hasahasa kuhusiana na kamchakato kuwa ka muda mrefu...ni wa kutiwa moyo na kuwapa mbinu zaidi za kuendeleza ustahimilivu huku wakiendeleza mapambano
ucjali nipo pamoja nanyi tutazidi kutiana moyo na kupeana mbinu mbalimbali kutoboa Interview za utumishu kwa experience niliyoipata
 
Back
Top Bottom