Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 492
- 1,265
Ngoja tusubirie ya kwetu ya mwzi wa 6Status Inasoma
web : Selected for Oral
App: Selected for Oral
Ngoja tusubirie ya kwetu ya mwzi wa 6Status Inasoma
web : Selected for Oral
App: Selected for Oral
Apo tupo wote mkuu nadhani next pdf ni mwezi huoNgoja tusubirie ya kwetu ya mwzi wa 6
Mungu mkubwa aisee ...ukawe mtumishi mwemaHatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa[emoji120]
Sie tunasubria tu kk, hatuna shida ..hope will be our time kwenda kuchukua barua [emoji41]Apo tupo wote mkuu nadhani next pdf ni mwezi huo
Cha msingi Umetoka oral kwenye application isome "'selected for Ora"Simama na Mungu toka ulipoaza written mpk oral hakika atafanya jambo kuliko kutoka kwenye oral kwenye application "not selected for Oral"inavunja moyo sanaaMatokeo ya Oral hayana Uhusiano na Written mkuu.
Mungu asaidie kwa kweliSie tunasubria tu kk, hatuna shida ..hope will be our time kwenda kuchukua barua [emoji41]
Kweli mkuu.Cha msingi Umetoka oral kwenye application isome "'selected for Ora"Simama na Mungu toka ulipoaza written mpk oral hakika atafanya jambo kuliko kutoka kwenye oral kwenye application "not selected for Oral"inavunja moyo sanaa
Kahusiano kanaweza kuwepo kwa kuwekwa kwa database.......Matokeo ya Oral hayana Uhusiano na Written mkuu.
Hata ww usiwasahau wenzet wanaoendelea kupaza sauti hasahasa kuhusiana na kamchakato kuwa ka muda mrefu...ni wa kutiwa moyo na kuwapa mbinu zaidi za kuendeleza ustahimilivu huku wakiendeleza mapambanoAsante sana kaka ,,Uwepo wako humu umeamsha faraja na tumaini ya wengi waliokata tamaa nakusihi uendlee na Moyo uo uo..[emoji120]
Mbona sioni walikosema nafasi 29 watatoka kwa database?Tangazo lile la ajira lililonyofolewa tayari wameshalitolea maelezo. Wameweka tangazo lingine baada ya marekebisho. Marekebisho yaliyofanyika ni bora sana!! Nafasi za ajira kwenye tangazo la awali ni 372 lakini baada ya kufanyiwa mabadiliko nafasi za ajira zikapungua na kuwa 343. Hii inaonesha nafasi 29 zilipungua. Hizi nafasi zimepungua kwa sababu wameamua kuchukua majina kutoka kwenye DATA BASE na watu 29 wakalamba asali kutoka kwenye data base. Hii inaonesha kilio kilio kinachotolewa humu kinasikilizwa!!
Taarifa ya mabadiliko ya tangazo hii hapa:
Ukawe mtumishi mwema mkuu!Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa[emoji120]
Kiongozi anamaanisha Japo na mimi sija prove"ilo tangazo la kwanza ni kitengo gani wamefuta...ila point yake"" first time tangazo linatoka zilikuwa nafasi 372 baadae wamefuta wakaweka 343...Mbona sioni walikosema nafasi 29 watatoka kwa database?
Ndio idadi imepunguzwa kweli..ila alivyotuma tangazo na kusema 29 watatoka kwenye database nkahisi labda tangazo hilo ndo limetoa taarifa hiyo na nkalifungua kujihakikishia ila hakuna walikosema hao walopungua watatolewa kwenye database ndo nkabaki nashangaa au anazo za ndani ndani huko[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kiongozi anamaanisha Japo na mimi sija prove"ilo tangazo la kwanza ni kitengo gani wamefuta...ila point yake"" first time tangazo linatoka zilikuwa nafasi 372 baadae wamefuta wakaweka 343...
Hongera sana kiongozi ....Ukawe mtumishi mwema
Kanisani wachungaji wanasema Pokea tuSio mimi mkuu. Nimetoa shukrani za jumla kwa Mungu kwa wakuu hawa kupata asali.
Mtaani pagumu sana kama huna cha msingi cha mapato na ukiwa na majukumu
Kanisani wachungaji wanasema Pokea tu
Next time it will be ur turn indeed!
Mbona sioni walikosema nafasi 29 watatoka kwa database?
Anyway.....nisiongee mengi sana kuhusiana na hiliHawajasema na hawawezi kusema lakini fikiri kama nafasi zilikuwa 372 na sasa ni 343, je nafasi 29 zimeenda wapi? Uwezekano kuwa zimefutwa ni mdogo sana maana tayari zilishaidhinishwa!! The only possible conclusion ni kwamba wameamua nafasi 29 zichukuliwe na watu walioko kwenye data base na zisigombaniwe upya kwenye usaili!!. Ujue watu wanapolalamika hapa usifikiri kuwa haya malalamiko hayasikiki!! Watu wamekuwa wakilalamika nafasi zilizofanyiwa usaili zinatangazwa tena upya wakati kwenye data base wapo wanaosubiria hizo nafasi!!
Hongera sana mkuu.Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa🙏
Hatimaye na Mimi leo nimelamba asali,wizara ya mifugo,kwa miaka 7 nafanya interview nakandwa na Psrs,lakin mwaka huu nimepata kazi,Mungu mkubwa[emoji120]