Hongera sana....Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
Hongeraaa sanaaaaaNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
Ya yuki wadogoAsali ya leo nzito nzito
Hongera sana,kakaNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asante sanaHongera sana....
Ukawe mtumishi mwema!
Hongera sana.Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asnte sanaHongera sana,kaka
asante sanaHongeraaa sanaaaaa
Hongera sanaa mkuu!!Nashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asnte sana[emoji120]Hongera sana.
asante sana
hongera sana nduguNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asnte sana blood ,,Nilikua naona kama miujiza ila brother makofia360 alinitia moyo nisikate tamaa Mungu yupo na Database inatumika nisiwe n waswashongera sana ndugu
Hongera sana Mkuu.asnte sana blood ,,Nilikua naona kama miujiza ila brother makofia360 alinitia moyo nisikate tamaa Mungu yupo na Database inatumika nisiwe n waswas
Wameanza Mwaka kwa Asali nzito.Asali ya leo nzito nzito
OyeeehHahaaaa ,Yakunle upo jamaa ? ,mishe zinaendaje ? , umepotea sana humu, Nikikumbuka huwa nacheka sana , kweli asali inaondoa hasira , wewe na yule jamaa mwingine anatumia ID ya Kyagata mlikuwa ngumi mkononi humu ,😄😄😄😄😄😄😄 ,mtu akikuzingua kidogo panachimbika humu 😄😄😄😄😄😄 , lazima mtoane damu 😄😄😄😄😄 ,utumishi hoyeeee.
Utumishi watoe asali aisee ,huu ukame mbona sio ?
Duuh hongera mkuu ilikua Asubuhi now unachekelea GiftedmanPDF ilikua nzito , Tupige maombi irudi