kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 220
- 444
Hongera sana.Maisha ni fumbo ,,Wakati wa Mungu ni sahihi zaidi ,,Nashkuru Mungu kwa hii nafasi niliopata
Hongera sana.Maisha ni fumbo ,,Wakati wa Mungu ni sahihi zaidi ,,Nashkuru Mungu kwa hii nafasi niliopata
Matokeo ya Oral hayana Uhusiano na Written mkuu.Ndugu zangu naomba kuuliza kuna asilimia ngapi ya kulamba asali ikiwa katika interview ya watu 400+ ukafahuru kuwa nafasi ya kwanza katika written but ikatoke la oral umechemka kidogo tu au wastani
Naaam naaam nimekupata kiongoziMatokeo ya Oral hayana Uhusiano na Written mkuu.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kaziNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asnte sanaHongera sana.
asnte sana ,,[emoji120]Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
Hongera sanaNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
Hongera sana aisee kila la heri katika utumishiNashukuru Mungu kwa siku ya leo, Nimekua mmoja wa watu waliolamba asali - MOI ,Nilifanya interview mwaka jana mwezi wa tisa placement zetu zilishatoka ,, Nimepata kupitia Database ,,Hivyo ndugu zanguni tusikate tamaa tuendelee kufanya saili Mungu atatuona [emoji120]
asante sanaHongera sana
asnte sana [emoji120]Hongera sana aisee kila la heri katika utumishi
Nipo mbali ila nimefurahi mno tena mno yani nimeona notification huku nacheck niona furaha yako hongera mno ni sahih na niwakati wakoasnte sana blood ,,Nilikua naona kama miujiza ila brother makofia360 alinitia moyo nisikate tamaa Mungu yupo na Database inatumika nisiwe n waswas
Asante sana kaka ,,Uwepo wako humu umeamsha faraja na tumaini ya wengi waliokata tamaa nakusihi uendlee na Moyo uo uo..[emoji120]Nipo mbali ila nimefurahi mno tena mno yani nimeona notification huku nacheck niona furaha yako hongera mno ni sahih na niwakati wako
Tuko pamoja sana yani kapige kazi cha msingi kujituma kazini kwepa makundi yasiyo na muhimu kuwa nutro kwa watumishi wenzako penda kujifunza na kuwa msikivu utadumuAsante sana kaka ,,Uwepo wako humu umeamsha faraja na tumaini ya wengi waliokata tamaa nakusihi uendlee na Moyo uo uo..[emoji120]
Nitajitahidi kadri ya uwezo wngu kuyatimiza,,Nikawe mtumishi mwemaTuko pamoja sana yani kapige kazi cha msingi kujituma kazini kwepa makundi yasiyo na muhimu kuwa nutro kwa watumishi wenzako penda kujifunza na kuwa msikivu utadumu
Lazima uandike cv nyingine ukiacahana na ile unayojiandika automatically, pia refariiii lazima wawe 3Wakuu samahani nahitaji msaada hapa kidogo. Unapo apply ajira portal baada ya kuandika barua unaandika Tena na CV ?? au CV inakua tu automatically Ile Ile ya pale uliyoitengeneza ajira portal ?? Nahitaji msaada kwa anaefaham tafadhari
Shukrani kiongoziLazima uandike cv nyingine ukiacahana na ile unayojiandika automatically, pia refariiii lazima wawe 3
Kwa mimi ninavyojua kwenye ajira portal CV huwa inakuja automatically baada ya ww kuweka info zako na tukiwa tunaomba kazi pale huwa wanasema tuweke sign letter tu huwa hakuna sehemu ya CVWakuu samahani nahitaji msaada hapa kidogo. Unapo apply ajira portal baada ya kuandika barua unaandika Tena na CV ?? au CV inakua tu automatically Ile Ile ya pale uliyoitengeneza ajira portal ?? Nahitaji msaada kwa anaefaham tafadhari
Note: Na refariii wasipo fika wa tatu unakuwa disqualified kwenye post za ajira portalLazima uandike cv nyingine ukiacahana na ile unayojiandika automatically, pia refariiii lazima wawe 3