HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekata tamaa mapema sana.
 
Ila wakuu si kuna wanaolamba asali na unakuta wanakuwa hawajui kama wamelamba asali
Namaanisha mfano wengine baada ya kuwa discouraged na kinachoendelea utumishi hatufuatilii placements mpya na wengine hata matangazo tumefikia stage ya kutoyafuatilia tena on our own risks......sasa ikitokeaga majina yametolewa database si ndo wengine hatawajuaga hata kama wameitwa mzigoni?
 
"Ee Mwenyez Mungu mwingi wa rehema Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani ya ardhi hii,tunakuomba utuokanikie na sisi ambao hatujapata placement mpaka sas tuonekane natupate kazi serikalini"amen
Amiin
 
Ila wakuu si kuna wanaolamba asali na unakuta wanakuwa hawajui kama wamelamba asali
Namaanisha mfano wengine baada ya kuwa discouraged na kinachoendelea utumishi hatufuatilii placements mpya na wengine hata matangazo tumefikia stage ya kutoyafuatilia tena on our own risks......sasa ikitokeaga majina yametolewa database si ndo wengine hatawajuaga hata kama wameitwa mzigoni?
Mwajiri au utumishi wenyewe lazima wakutafute baada ya kipindi fulani kupita ndio maana wanasisitiza kuweka mawasiliano ambayo utakuwa unapatikana muda wote.

Kabla ujaripoti taarifa zako muhimu tayari anakua kapewa mwajiri wako.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Vp
Ila wakuu si kuna wanaolamba asali na unakuta wanakuwa hawajui kama wamelamba asali
Namaanisha mfano wengine baada ya kuwa discouraged na kinachoendelea utumishi hatufuatilii placements mpya na wengine hata matangazo tumefikia stage ya kutoyafuatilia tena on our own risks......sasa ikitokeaga majina yametolewa database si ndo wengine hatawajuaga hata kama wameitwa mzigoni?
Mkuu umetokea kwenye pdf nn tukupe hongera zzako
 
Umesema kweli kabisa! Nina kijana wangu ambaye mwaka jana alifanya written interview tatu na zote hakufanikiwa kuingia oral part. Akawa analalamika kuwa anapoteza pesa bure kwa hiyo nikaamua kuwa nampa mimi pesa. Alivyoitwa interview ya nne akakataa kwenda nikaamua nimwache kwanza. Baadaye akaitwa interview nyingine mwezi wa pili mwaka huu, nikamtia moyo na kumsapoti akaenda kupiga interview na safari hii hawakuwa na written kwa hiyo akapiga oral moja kwa moja! Mungu akambariki mwezi wa nne akaramba asali! Amesharipoti kazini tayari!! Lakini alikuwa amekata tamaa sana!! Tusiache kutiana moyo.
Bila shaka hyo atakua fisheries officer
 
Bado mim aisee,bado cjalamba asali yan full stress
Jipe moyo, zamu yako itakufikia tu. Nakumbuka kuna wakati mkijana wangu baada ya kufanya interview kadhaa bila hata kupitana kwenye oral alikata tamaa sana. Akawa anakataa hata kuhudhuria interview nyingine. Mwisho wa siku ameramba asali! Sasa hivi anashukuru sana kwa tulimtia moyo! Na wewe usikate tamaa!! Endelea kumwamini Mungu atoaye pumzi na riziki kwa wote!
 
Back
Top Bottom