HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tukiwaambia muwe na subira mnasema sisi ni mawakala wa PSRS.

Hongera sana mkuu, kila la kheri, karibu sana kwenye Utumishi wa Umma.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ni jinsi gani inavyoumiza mkuu lakini usifanye hasira. Mungu yupo kuna wakati utashangaa mambo yanatendeka kwa aina yake. Wala usighadhibike ndo maana tupo humu kushauriana na kutiana moyo. Nakusihi utulie kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipigwa vibuti huko Tamisemi na Wizara kwa miaka miwili mfululizo. Nilikuwa nasikitika sana kukosa nafasi kule. Kumbe sikujua nafasi yangu ilikuwa sehemu nyingine, kilichobaki ilikuwa ni juhudi zangu tu ili kuipata hiyo nafasi.

Kwenye kufanya juhudi hizo nilikutana na milima na mabonde kiasi cha kukata tamaa, ila waungwana wa humu walinishika mkono kwa nasaha, hatimaye leo ni historia(yaani katika maisha yangu, sikuwaza kama ningekuwepo hapa nilipo)

Usikate tamaa kamwe, usiache kufanya juhudi, sio kila juhudi lazima iwe na matokeo chanya, hizo zote ni njia za kuiendea nafasi yako ambayo huwezi kuijua isipokuwa anayetupa hi pumzi ya bure ndio anajua yeye pekee. Siku ikifika utashangaa mwenyewe na kusahau madhila yote ya kipindi cha nyuma.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hoH

Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana brother
 
We umeona alichonijibu?kanijibu kijinga so alistahili pia kujibiwa kijinga pia
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana
 
Mkuu unaweza kuona kama ni maigizo lakini watu wanapitia tough times biashara haiwezekaniki sabb hata mtaji mdogo, let say mtaji wa biashara hata ya 100k mtu anakosa so you can feel it mm hii nilishaipitia hii hali back then yani unaona total darkness. Possibly ni options zinazowezekana bila mtaji basi ni kuangalia kazi za nguvu mfano saidia fundi au kazi za viwandani za malipo kwa siku 6-10k.
Unachokisema n kweli nakuelewa,tumia ulichonacho kuanzia ie,nguvu ulizonazo ziwekeze sehemu unayoona unamudu na utapata chochote.Hata matajiri wengine alianza kwa mtaji wa nguvu zao wenyewe .
 
Usiwe mjinga mjinga kwa kitu usichokijua we kijana,Magufuli alizibiti hicho kitu Cha kuchomeka majina toka mfukoni,tulio UTUMISHI ndo tunajua,we utajua Nini hata kazi hujapata?? Unajua kufanya usahili tu
wewe ndio mpumbavu, hanithi wewe, kama upo utumishi mimi hayanihusu kiukweli, usidhani kila mtu unakuja kumtukana tu
 
Back
Top Bottom