HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante
Hongera sana mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana ndugu, Mungu ni mwingi wa fadhili nawaombea wote humu ambao bado mnasubiri placement , Huruma zake Mungu zikawafunike daima nanyi mkapate, na wale ambao wanatarajia kufanya saili za kuandika , Mungu mwenye fadhili awatangulie katika maandalizi yenu, kumbukeni kumtanguliza Mungu katika maandalizi yenu , yeye amejaa huruma na uwezo mwingi ana njia nyingi sana za kuwainua wanadamu, Mimi nimemuona kwangu na ametenda kwangu nilipitia changamoto za hapa na pale, toka mwaka juzi nikamkabidhi njia zangu zote na kuweka tumaini kwake licha ya kuhudhuria saili 8 Dodoma na Mbeya mwaka jana bila kukata tamaa hatimae amejibu hitaji langu la Ajira mwaka huu, hivyo ndugu zangu tunapo muomba Mungu tuwe na Imani kuwa yeye yupo na anajua tunayopitia , isipokuwa tu yeye yupo katika majira na nyakati , zikifika majira na nyakati alizoziamuru baraka zake anazidhihiriaha kwetu.
Hivyo tusikate tamaa kabisa kwa maana kukata tamaa ni dhambi na ni kitendo kinacho onesha kuwa Mungu hana uwezo wa kutusaidia.

Ndugu zanguni Mungu ni mwema sana , jambo la msingi ni kumuamini tu , Wote humu ndani tutaonja pendo lake Ajira.
MUNGU AWABARIKI SANA.
 
Ni sahihi kabisa, hata mimi nilipokua naona testimon za wadau nilikua nafalijika sana kwamba ipo siku nami nitakua miongoni.
Japo nipo kwenye taasisi ya elimu ya kati na wamenipa position nzuri lkn lazima niage nikaripoti halmashauri.!
Hiyo taasisi ya elimu ya kati unapaacha uende halmashauri sijaelewa kidogo kwamba upo private unaingia govt au una circle within gavo?

Be as it may HONGERA!
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upendo kabisa napendekeza uombe kazi zilizotangazwa na jeshi la magereza zinazohusu wataala wa kada mbalimbali ikiwamo za afya na ufundi mbalimbali. Jeshi la magereza kwa wataalam ni mahali pazuri sana, japo wengi huwa hawajui. Nakuahidi ukipata nafasi huko hutajuta!!
https://magereza.go.tz/images/AJIRA/AJIRA2023_0001.pdf
 
Wakuu, ninaomba kuelewa kuhusu hili.
Halmashauri ya Wilaya X ni miongoni mwa Halmashauri za Wilaya zilizopewa vibali vya kuajiri Afisa Y (hili nalifahamu sio story ya kufikirika). Lakini mpaka PDF ya jana ni Halmashauri ya Wilaya X pekee bado haijapangiwa huyo Afisa Y (nasema hivo kwa sababu nafasi za Afisa Y zilizotangazwa imebaki moja tu).
Je, hapa shida inaweza kuwa ni nini/ nani?
Mwifwa Mr Spider na wengineo mtakaokuwa na uelewa wa hili.
 
Wakuu naomba msaada wenu
Barua yangu imeandikwa nmeipokea tarehe 30 mwezi wa 3 badala ya Leo tarehe 11, inanitaka kureport katika kituo Cha kazi ndani ya siku 14 na sehemu niliyopangiwa ni mbali kidogo wilaya ya mji wa kasulu.
Sasa naona siku 14 zinaisha Leo, hii imekaaje wakuu, itakuwa walikosea kuichapa niwarudishie tena??
 
Subira inahitajika!! Mwisho wa siku nafasi zote zilizotangazwa zitajazwa! Rasilimali fedha bado ni changamoto sana katika utekelezaji wa mipango mizuri ya sarikali. Serikali hupanga kwa matarajio ya kupata fedha (toka kwenye kodi na mikopo/misaada). Kodi zisipokusanywa kwa wakati na mipango haitatekelezeka kwa wakati!! Serikali huwa haina muujiza wala ujanja mwingine zaidi ya kodi toka kwa raia wake! Natamani sana elimu ya uraia na wajibu wa raia hasa eneo la kodi ingekuwa inafundishwa tangu kwenye elimu ya awali hadi chuo kikuu!! Si ajabu kuna watu wanaomba "mungu" wapate ajira sehemu ambazo zitawawezesha kuiibia serikali na kula rushwa!! Mbaya zaidi kuna watu wako katika nafasi ambazo badala ya kuisaidia serikali kukusanya mapato ya kodi, kinyume chake wanashirikiana na watu kukwepa kulipa kodi kwa kupewa "kitu kidogo". Na bila kuelewa athari wanayoisababisha kwa Taifa, wanaweza kujitokeza tena kuilaumu serikali kwa kutokutoa ajira kwa vijana kwa wakati!!
 
Wakuu naomba msaada wenu
Barua yangu imeandikwa nmeipokea tarehe 30 mwezi wa 3 badala ya Leo tarehe 11, inanitaka kureport katika kituo Cha kazi ndani ya siku 14 na sehemu niliyopangiwa ni mbali kidogo wilaya ya mji wa kasulu.
Sasa naona siku 14 zinaisha Leo, hii imekaaje wakuu, itakuwa walikosea kuichapa niwarudishie tena??
Kwanza tufahamu we unaishi wapi??

Na jina lako umeliona lini kwenye placement?

Hizo siku 14 wanazosema ni baada ya kupokea barua kutoka utumishi sio tarehe iliyoandikwa kwenye barua, kwahyo we kama jina lilitoka jana tarehe 10 na leo ndio umeifuata, anzia hapo kuhesabu siku 14 .

Ni hayo tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ahsante
Ahsante sana ndugu, Mungu ni mwingi wa fadhili nawaombea wote humu ambao bado mnasubiri placement , Huruma zake Mungu zikawafunike daima nanyi mkapate, na wale ambao wanatarajia kufanya saili za kuandika , Mungu mwenye fadhili awatangulie katika maandalizi yenu, kumbukeni kumtanguliza Mungu katika maandalizi yenu , yeye amejaa huruma na uwezo mwingi ana njia nyingi sana za kuwainua wanadamu, Mimi nimemuona kwangu na ametenda kwangu nilipitia changamoto za hapa na pale, toka mwaka juzi nikamkabidhi njia zangu zote na kuweka tumaini kwake licha ya kuhudhuria saili 8 Dodoma na Mbeya mwaka jana bila kukata tamaa hatimae amejibu hitaji langu la Ajira mwaka huu, hivyo ndugu zangu tunapo muomba Mungu tuwe na Imani kuwa yeye yupo na anajua tunayopitia , isipokuwa tu yeye yupo katika majira na nyakati , zikifika majira na nyakati alizoziamuru baraka zake anazidhihiriaha kwetu.
Hivyo tusikate tamaa kabisa kwa maana kukata tamaa ni dhambi na ni kitendo kinacho onesha kuwa Mungu hana uwezo wa kutusaidia.

Ndugu zanguni Mungu ni mwema sana , jambo la msingi ni kumuamini tu , Wote humu ndani tutaonja pendo lake Ajira.
MUNGU AWABARIKI SANA.
Amen, nashukuru sana ndugu kwa kutuombea na kututia moyo. Inapendeza kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom