HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
USHAURI hata kama haujaomba ushauri: Techniques za oral interview ni tofauti kabisa na written interview. Maswali ya oral interview kila mtu huyaona kuwa ni rahisi lakini kama haujui hilo swali linapima kitu gani, utadhani umejibu sahihi kabisa kwa mtazamo wako lakini kumbe hujaonesha kile kinachopimwa!! Tafuta msaada wa namna ya kuyaelewa na kuyajibu maswali ya oral interview kwa kukidhi haja ya kile kinachopimwa!!
 
H
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
ongera sana!! Usiihahau taabu wanayokumbana nayo wanaotafuta ajira! Mungu akikupa nafasi usije ukawa mmoja wa wanaoleta ugumu kwa vijana wanaotafuta ajira! Mungu atakupandisha siku moja utakuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri maisha ya watanzania! Ukawe mwema! Usisahau kumshukuru Mungu!!
 
USHAURI hata kama haujaomba ushauri: Techniques za oral interview ni tofauti kabisa na written interview. Maswali ya oral interview kila mtu huyaona kuwa ni rahisi lakini kama haujui hilo swali linapima kitu gani, utadhani umejibu sahihi kabisa kwa mtazamo wako lakini kumbe hujaonesha kile kinachopimwa!! Tafuta msaada wa namna ya kuyaelewa na kuyajibu maswali ya oral interview kwa kukidhi haja ya kile kinachopimwa!!
unajua kwenye Afya au sayansi point ni moja tu . hakunaga kudanganya mule mfano unaulizwa

"mention five branches of microbiology" unazitaja na majibu yake ni hayo hayo ulimwengu mzima
  • virology
  • bacteriology
*mycology
* parasitology
*immunology.

sasa hapo wanapima nini ? au unataka kusema hilo swali linapima nini. kwenye sayansi majibu ni constant hainaga mbwembwe nyingi. sasa unakuta umejibu maswali ya oral manne yote vizuri na majibu ya uhakika ila ata database hupati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona machungu mengi yamezidi jua kufanikiwa kupo karibu, Head up champion usikate tamaa. We have failed many times but we still believe, As long as you still alive it means you have a chance to make it happen,If not today it may be tomorrow. Surrender is not an option.
Umesema kweli kabisa! Nina kijana wangu ambaye mwaka jana alifanya written interview tatu na zote hakufanikiwa kuingia oral part. Akawa analalamika kuwa anapoteza pesa bure kwa hiyo nikaamua kuwa nampa mimi pesa. Alivyoitwa interview ya nne akakataa kwenda nikaamua nimwache kwanza. Baadaye akaitwa interview nyingine mwezi wa pili mwaka huu, nikamtia moyo na kumsapoti akaenda kupiga interview na safari hii hawakuwa na written kwa hiyo akapiga oral moja kwa moja! Mungu akambariki hivi tunavyozungumza amesharamba asali! Amesharipoti kazini tayari!! Lakini alikuwa amekata tamaa sana!! Tusiache kutiana moyo.
 
Hongereni sana wote mliona majina yenu kwenye PDF. Kila la kheri katika Utumishi wenu.

Kada yangu sasa amebaki mtu mmoja tu wafikie idadi waliotangaza Serikali.
Ni ukweli usiopingika kwamba inakatisha tamaa. Na mpaka zije zitangazwe tena kwenye hii Kada yetu ni Mungu pekee anajua.
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Usikate tamaa mkuu utapata tu,watu wengi waliopata humu huwa wanasema kuwa walisubiri sana walisota sana mtaani lkn hawakukata tamaa,hivyo usikate tamaa utapata kwa wakati wako.
 
Usikate tamaa mkuu utapata tu,watu wengi waliopata humu huwa wanasema kuwa walisubiri sana walisota sana mtaani lkn hawakukata tamaa,hivyo usikate tamaa utapata kwa wakati wako.
sawa. hao PSRS sisi wa kada za afya wengi tupo database ila wanakatisha tamaa nafasi zikipatkana badala watupe ambao tupo kanzidata wanatangaza tena upya hizo nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana..
 
Back
Top Bottom