Tukienda kwa style hiyooo Mkuu unaosema ..............????Sasa hapo nikiri kwamba tatizo ni psrf kuchelewa kutoa majina ikiwa tayari muajiri ametoa go ahead ya mwajiriwa kufika eneo la kazi
Lakini kuhusu barua kutumwa kwa muajiri mi sidhani kama ni tatizo tena imekuwa vizuri maana pengine imewahisha waajiriwa kutafutwa mapema.
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Linapokuja swala ambalo binadamu anahusika moja kwa moja ayo mambo ya upendeleo uwa yapo tu hata kama itatumika style ganiTukienda kwa style hiyooo Mkuu unaosema ..............????
kuna watu wataingizwa kimya kimya kazini!!!!
Mungu asimamie hili...
Sidhani kama wewe ni mgeni kwenye hizi contradictions za placements za vyuo kwenye kutangazwa. Tumeziona sana mwaka jana zikiongozwa na MUCE, sasa sijui unawalaumu vipi PSRS ilihali placements wanazotoa wao hazijawahi kupishana na tarehe zilizoandikwa.Point ni kuwa wenyewe ndo wana mamlaka na wajibu wa hili swala (kupost/kutoa taarifa za michakato ya ajira), na chochote kinachotokea wao ndo wanapaswa kuwajibika...
Kama wanashindwa kuwasiliana na vyuo vikuu kwa wakati hili pia ni changamoto kwao, Sasa mkuu wewe unaleta assumptions za utetezi.
Nashkuru Sana nduguHongera kwa kulamba asali mzee, nakumbuka ulivokua unaulizia pdf kwa nguvu. Ukawe mtumishi mwema
Kwanini unataka kufuta?
Bongo kiswahili ni kigumu. jamaa kakuuliza swali na wewe unauliza swali badala ya kujibu swali. hahahahahahaKwanini unataka kufuta?
Sasa ugumu wa kiswahili uko wapi wakati nimemuelewa.Bongo kiswahili ni kigumu. jamaa kakuuliza swali na wewe unauliza swali badala ya kujibu swali. hahahahahaha
Kifupi huwezi kufuta...ushauri watafute psrs watakupa maelekezo zaidi
False speculations....Mimi huwa najiuliza: Ukiwa shortlisted PSRS wanakupa taarifa kwenye akaunti yako ya recruitment portal. Sasa kwa nini ukiitwa kazini wasikuarifu pia? Na kwa nini wasikutumie hiyo barua kwa email pia? Yote hiyo ni kutafuta nafasi watakazozipoteza watu kwa kutokupata taarifa kwa wakati ili wapenyeze watu wao.
Hahaha Bongo raha sana. jamaa kauliza swali sio kuomba ushauri.Sasa ugumu wa kiswahili uko wapi wakati nimemuelewa.
Nataka nijue sababu pengine naweza kushauri alternative badala ya kufuta .
Jiongeze mkuu
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.Kwanini unataka kufuta?
Kwani upo kada gani?sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.
mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitoe tu akiliKuingizwa watu kimya kimya ambao hawajafanya usahili hiyo ilikuwa zamani kaka,mfumo Sasa hiv unawabana kinoma,hiyo namba ya interview inakuwa treced kinoma kila mahali mpk makao makuu UTUMISHI,ndo maana connection za saiv lazima ufanye usahili ndo wanakubeba kwenye matokeo,et kuja na jina mfukoni hiyo ilikuwa zamani za jk
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.
mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara
Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mwamba inatia hasira sana.sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.
mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara
Sent using Jamii Forums mobile app