HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma[emoji29] nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Mkuu fanya biashara au tafuta private sector huku ukiendelea na kuattend interview za serikalini,kwa wakati wako utapata usikate tamaa .
 
Mimi kuna rafiki yangu ameanza kazi na alipigiwa simu hivi hiv, alifanya interview mwez wa kwanza mwishon, akaitwa mwezi wa 2 mwishon na alishaanza kazi tayari, lakin paka leo majibu yao ya kuitwa kazin utumush hawajapost
Duh hii sasa mbona mpya tena jmn!!!!! [emoji849]🥲
 
Mkuu fanya biashara au tafuta private sector huku ukiendelea na kuattend interview za serikalini,kwa wakati wako utapata usikate tamaa .

Mkuu unaweza kuona kama ni maigizo lakini watu wanapitia tough times biashara haiwezekaniki sabb hata mtaji mdogo, let say mtaji wa biashara hata ya 100k mtu anakosa so you can feel it mm hii nilishaipitia hii hali back then yani unaona total darkness. Possibly ni options zinazowezekana bila mtaji basi ni kuangalia kazi za nguvu mfano saidia fundi au kazi za viwandani za malipo kwa siku 6-10k.
 
Kuna dada case ya namna hiyo imemtokea, amepigiwa simu na afisa utumishi wa wilaya aliyopangiwa (Busokelo, afisa huyo alijitambulisha) wakati yeye hajapata barua na pia mkeka bado haujatoka.

Namimi pia nilidhani kwamba ni matapeli, lakini kama kuna watu wengine situation kama hiyo imewakuta, haya mambo yanaweza kuwa na uhalisia.
Mwambie huyo dada aondoe hofu maana Mimi pia nipo halmashauri hiyohiyo na nimeitwa kwa mfumo huo kwaiyoo awe na amani na ajitahidi kama ikiwezekana wiki hii isiishe bila kuripoti
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma😓 nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Dahh, Pole sana mkuu, najua umekata tamaa sana... Lakini epuka hiyo roho mbaya inayo kupeleka kiasi ukate tamaa ya kuishi.

Nakuomba mkuu,,, Kama kutakua na kazi ndogo ndogo fanya huku unaendelea kupambana.

NB: 1: hakuna proffesa tajiri
2: Business start with zero capital
 
Mkuu wewe uko kada gani, kuna dada alifanya usaili wa afisa mifugo msaidizi na kapigiwa simu na HR wa halmashauri aliyopangiwa, wakati mkeka bado haujatoka.
HR anamuuliza vipi mbona haujafika kuripoti, dada anashangaa, anahisi ni matapeli.

Tubadilishane uzoefu mkuu kwenye hili, huenda tukasaidia wanaokutana na scenario kama hizi.
Aondoe hofu ajipange aje haraka Sana aripoti then asubirie 14 days then aanze KAZI rasmi. Pia kama atakuwa na maswali or chochote njo inbox nikupe no umpatie niangalie naweza nikamsaidiaje maana na Mimi pia nipo halmashauri moja na yeye
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma[emoji29] nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Pole sana chief, ni wengi tunapitia hiyo changamoto haupo peke yako ila bado tunalo tumaini, wakati wetu utafika usikate tamaa.
 
Aondoe hofu ajipange aje haraka Sana aripoti then asubirie 14 days then aanze KAZI rasmi. Pia kama atakuwa na maswali or chochote njo inbox nikupe no umpatie niangalie naweza nikamsaidiaje maana na Mimi pia nipo halmashauri moja na yeye
Huu nutaratibu wa kuripoti halafu unaambiwa usubirie tena kwa siku zisizopungua 14 ni usumbufu sana kwa watu!! Kwa mtu ambaye hayuko vizuri kifedha ni kipindi cha mateso sana!! Kurudi nyumbani nauli haitoshi, kubaki huko huko pa kulala na msosi ni shida! Hayo mateso wahusika wanaweza hata wasiyaseme wakaishia kumlilia Mungu tu!! Mtu na akili yake anaamua kupanga utaratibu usio rafiki kiasi hicho!!
 
Ninacho hisi inawezekana labda pdf ilishatokaga before ila wahusika hawakuiona
Kuna watu wameshuhudia humu kuwa imeshawatokea pia kwa hiyo ni kweli. Si rahisi mtu asiione pdf ukitilia maanani watu wanavyosubiri pdf kwa hamu!! Lakini pia jina likitoka hata kama wewe hujaona wataona hata jamaa na marafiki na watakutaarifu tu. Si rahisi mtu aliyefanya usaili akakaa siku 3 bila kupitia PSRS!!
 
Ninacho hisi inawezekana labda pdf ilishatokaga before ila wahusika hawakuiona
Hapana nahisi shida Ipo utumishi maana Mimi Kila siku nilikuwa natembelea website ya psrs na huku so Kila pdf nilikuwa naangalia lakini jina sijawah kuona na kazini nishaitwa na nimeripoti
 
Huu nutaratibu wa kuripoti halafu unaambiwa usubirie tena kwa siku zisizopungua 14 ni usumbufu sana kwa watu!! Kwa mtu ambaye hayuko vizuri kifedha ni kipindi cha mateso sana!! Kurudi nyumbani nauli haitoshi, kubaki huko huko pa kulala na msosi ni shida! Hayo mateso wahusika wanaweza hata wasiyaseme wakaishia kumlilia Mungu tu!! Mtu na akili yake anaamua kupanga utaratibu usio rafiki kiasi hicho!!
Acha tuuu maana kuna wengine tunatokea mbali unakuta ushatumia nauli zaidi ya 80k halaf uambiwe urudi yaani ni jau sana
 
Back
Top Bottom