HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
unajua kwenye Afya au sayansi point ni moja tu . hakunaga kudanganya mule mfano unaulizwa

"mention five branches of microbiology" unazitaja na majibu yake ni hayo hayo ulimwengu mzima
  • virology
  • bacteriology
*mycology
* parasitology
*immunology.

sasa hapo wanapima nini ? au unataka kusema hilo swali linapima nini. kwenye sayansi majibu ni constant hainaga mbwembwe nyingi. sasa unakuta umejibu maswali ya oral manne yote vizuri na majibu ya uhakika ila ata database hupati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo ushauri unahitajika kwa wote wanaohudhuria oral interview. Hayo maswali ya uelewa huwa hayana mchango mkubwa katika kuwatofautisha wasailiwa. Kwanza tayari uelewa umeuonesha kwenye written interview, na kuna uwezekano mkubwa wote mkayajibu kwa usahihi. Ninaamini swali la kwanza au la mwisho kwenye oral huwezi kuulizwa swali kama ulilotoa mfano hapo juu. Maswali ambayo hayaoneshi uhusiano wa moja kwa moja na taaluma yako, lakini yanakufanya ujifunue kwa msaili ili akutambue ulivyo, ndiyo yatakayowatofautisha kati ya msailiwa mmoja na mwingine. Kumbuka kwenye oral wote mliobaki ni mabingwa na wote mnaweza kuifanya hiyo kazi bila shida yoyote!! Kinachotafutwa ni kuwatofautisha ili kupata wachache maana nafasi ni chache na wengine mnabaki data base!! TAKE NOTE OF THIS!! Confidence & personality ni ya muhimu sana pia. Sisemi kwamba wewe huna confidence & personality lakini nashauri kwa ujumla wake hapa jamvini kwa manufaa ya wengi.
 
hilo swali nililotoa mfano tuliulizwa. maana nasema kwanye sayansi au afya jibu ni moja tu. japo wanaficha matokeo ya oral ila maswali yao mengi yanajibika wanaficha maksi za oral alafu wenyewe wanaamua wampe nani. mfano mm nauhakika nipo kanzidata ila nafasi hawatupi kila siku kutangaza matangazo mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kumbe status kwenye app zina maana Kuna mwamba hapo alipiga oral interview ya ardhi majina yametoka Jana status imerudi not selected for oral interview ya red
 
Psrs wanazingua sana tu kwa sababu huwezi kutoa multiple advertisement kila siku na database imekuelemea.
Haiwezekani watu 300 wote ukose hata 1 aliyefanya vizur akakosa nafasi ukamuweka database
 
Wakuu kumbe status kwenye app zina maana Kuna mwamba hapo alipiga oral interview ya ardhi majina yametoka Jana status imerudi not selected for oral interview ya red
Mmh hzi mambo za status zipoo tuu bado mkuu?
 
hilo swali nililotoa mfano tuliulizwa. maana nasema kwanye sayansi au afya jibu ni moja tu. japo wanaficha matokeo ya oral ila maswali yao mengi yanajibika wanaficha maksi za oral alafu wenyewe wanaamua wampe nani. mfano mm nauhakika nipo kanzidata ila nafasi hawatupi kila siku kutangaza matangazo mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kwenye kada yenu hajaitwa hata mmoja? Kama hajaitwa hata mmoja maana yake kuna siku wataita! Kama wameitwa baadhi lakini idadi haijafika ile waliyokuwa wanataka, basi wataendelea kuita hadi idadi ile itimie.
 
PSRS wanakosa kweli mtu kutoka Database kujaza ile nafasi moja wametangaza leo tarehe 10 CBE kwa kada ile ya HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom