Dah ICT diploma mkuu kz hadimu sana but usikate tamaa endlea kusklizia mkuumakofia360 vp kuhusu matangazo ya kazi watu wa diploma upande kada ICT kumekuwa kukame mno.
Nawakilisha
Kweli mkuu,ntajitahidi kuwa in touch mkuuSawa mkuu, usiwe unawasahau sana wanazengo hapa kuja kuwajulia hali, maana ukija wanafurahi sana
mkuu upo taasisi gani?Kweli mkuu,ntajitahidi kuwa in touch mkuu
Ni shida, mwaka juzi nilika gap la mwaka mzima kutoka saili moja Hadi iliyofuata tena inakuka ni ya nafasi moja.Hatri mzee pole sna mkuu hapa naona ndo mpk mwaka wa fedha mwingine sahz kama wameanza saili kwa zile zilizotanganzwa sinc january
Hiyo usijali, huyo mtu mmoja anaweza kuwa ni wewe, kwa hiyo pambana tu!!Ni shida, mwaka juzi nilika gap la mwaka mzima kutoka saili moja Hadi iliyofuata tena inakuka ni ya nafasi moja.
Dah haya matumaini unayompa ni ya hali ya juu kbsaaHiyo usijali, huyo mtu mmoja anaweza kuwa ni wewe, kwa hiyo pambana tu!!
Za mwaka huu wa budget 2022/2023....mbona bado hawajaajiri TRA!!!!!Vipi TRA kwenye zile nafasi 1000 za mwaka ujao WA fedha walisema wanaanza na database ndipo watangaze zinazobakia wamefikia wapi
Kada gani ukute ni wale wanaofnyia saili huko halmashauri na sio utumishi mfano watendaji wa kata,maderva nkKuna jamaa yangu leo kapigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri,akimuuliza mbona haji kuripoti?wakati utumishi bado hawajatoa majina,hii imekaaje wataalamu?
Afisa Mifugo msaidizi,Kada gani ukute ni wale wanaofnyia saili huko halmashauri na sio utumishi mfano watendaji wa kata,maderva nk
so umeuliza swali kwenye scenario unayoijua,na ukaamua kujijibu mwenyewe mkuu.Afisa Mifugo msaidizi,
hii inatokea maana kabla jina halijatoka utumishi,huwa yanatumwa kwanza halmashauri husika,so siku unaenda kuripoti habari zako tayari zinakuwa zimeshafika kabla yako,ndo maana watu wanalalamika kukuta tarehe ya mwezi wa tatu kwenye barua alafu utumishi wakatoaa jina mwazi wa 4,tatizo lipo utumishi
Hahaha mi naconclude kwamba jamaa katufunga kambaso umeuliza swali kwenye scenario unayoijua,na ukaamua kujijibu mwenyewe mkuu.
Mimi ninavyojua Tangazo la kazi linaazia Utumishi baadae linapelekwa PSRS.... PSRS wanaandaa kuwakanda au data base majina ya waajiriwa waliotakiwa wanayatuma Utumishi tena(wakati huo wameshachapa barua tayari PSRS) kupewa vibali vya ajira ndo wanayatangaza...Unapoona barua inakuwa tarehe za nyuma inamaana mrejesho wa Utumishi kuajiri unachelewa sana kuwafikia PSRS.....Hilo la kutanguliza majina halmashauri ?????Afisa Mifugo msaidizi,
hii inatokea maana kabla jina halijatoka utumishi,huwa yanatumwa kwanza halmashauri husika,so siku unaenda kuripoti habari zako tayari zinakuwa zimeshafika kabla yako,ndo maana watu wanalalamika kukuta tarehe ya mwezi wa tatu kwenye barua alafu utumishi wakatoaa jina mwazi wa 4,tatizo lipo utumishi
Utumishi si ndo PSRS au sijaelewaMimi ninavyojua Tangazo la kazi linaazia Utumishi baadae linapelekwa PSRS.... PSRS wanaandaa kuwakanda au data base majina ya waajiriwa waliotakiwa wanayatuma Utumishi tena(wakati huo wameshachapa barua tayari PSRS) kupewa vibali vya ajira ndo wanayatangaza...Unapoona barua inakuwa tarehe za nyuma inamaana mrejesho wa Utumishi kuajiri unachelewa sana kuwafikia PSRS.....Hilo la kutanguliza majina halmashauri ?????
Cha msingi suruba za kitaa umeepuka nazo una Mshukuru Mungu....
Hapana psrs iko chini ya utumishi ambayo ni wizaraUtumishi si ndo PSRS au sijaelewa
Mfano 🙁Tanroad na Tarura )hizi zipo chini ya Wizara uchukuzi na UjenziUtumishi si ndo PSRS au sijaelewa
OkayHapana psrs iko chini ya utumishi ambayo ni wizara
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
SawaMfano 🙁Tanroad na Tarura )hizi zipo chini ya Wizara uchukuzi na Ujenzi