Pili, wakuu ukipiga oral ,wale walio qualify zaidi wakapangiwa kazi. mliopo database hakuna mianya ya kutoa majina mfukoni, wakitaka kuchukua database wana command system wale wenye marks za juu watazidi kupata placement systematic mpaka kuwafikia wale wenye marks za chini. na akamaliza kuwa kuwa kuna ma auditor kabisa wa mfumo, na siku ile ya oral kunakua na watu kutoka idara tofauti tofauti za serikali ili kuhakikisha usahili unakua wa haki.
wakuu janja janja PSRS ni kidogo tena za kibinadamu ,tusiwachukulie kirahisi sanaa