HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mm sijamuelewa atawapa nafasi wanaojitolea bila kufanya interview nakufaulu au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo wanavyotaka!! yaani waliojitolea ndio wapewe kupaumbele. Hata kama akifanya usaili kunakuwa na upendeleo kwa aliyejitolea dhidi ya yule ambaye hakujitolea. Tatizo ni kwamba ambaye hakujitolea si kwamba hataki kujitolea bali hakupata hiyo fursa ya kujitolea!
 
Kuna jamaa aliripoti HALMASHAURI kama mwajiriwa wa kudumu. Alipofika pale akapangiwa Zahanati kama Afisa hesabu. Wakati yeye anapelekwa Zahanati pale Halmashauri Headquater Kuna maafisa hesabu wa kujitolea wawili na WA mkataba wawili. Hao wote ni ndugu wa watumishi wa pale pale Halmashauri. Kwahiyo yeye mtumishi wa kudumu akileta madokezo yake kutoka Zahanati anaripoti Kwa mtumishi wa kujitolea asaini. Watumishi wa Headquater Wana posho pamoja na wanaojitolea ila wa Zahanati hawana posho.
NB:
KUJITOLEA KWENYE TAASISI NZURI NI KICHAKA CHA WATOTO WA WAKUBWA 98%
 
Hata hivyo Naibu Waziri huyo amesema kwa mujibu wa kifungu cha 2.1.2 cha Sera ya menejimenti na ajira kwa utumishi wa umma, ajira kwa nafasi zilizowazi katika utumishi hujazwa kwa ushindani na uwazi kwa kufanya usaili na kupata washindi katika nafasi husika,
Hapa inaonyesha Mama(rais)kawapa vibari 6,000+ sasa wanapanga watumie vp kupitisha watoto zao kwa kigezo cha kujitolea....
Halafu tunavyozungumza tayari watoto wa wakubwa walishapachikwa huko BOT, NSSf, TRA nk "wakijitolea" huko. Yaani tayari walishaandaa mazingira tayari!! Sasa wanataka waingie king, kete walishazicheza tayari bado kuingia king tu!! Watu ndo muda huu wanashtuka kuwa kumbe kuna watu walishaanza kujitolea tayari!!
 
Back
Top Bottom