HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dah nasikitika kwa nn niliingia kweny haya masuala ya ajira kupitia psrs.

Huyu mwaka unakimbia alaf mikakati haiend kila siku naamin kesho nitajua moja ili nijue nafanyaje lkn kesho haifiki had muda huu.

Na Kujisahaulisha haya mambo ya psrs sio jambo la kitoto jmn.
 
Ila jihadharini yasije kuwa matapeli!! Hiyo scenario imekaa kiutata na ni vizuri kuwa mwangalifu!!
Kuna dada case ya namna hiyo imemtokea, amepigiwa simu na afisa utumishi wa wilaya aliyopangiwa (Busokelo, afisa huyo alijitambulisha) wakati yeye hajapata barua na pia mkeka bado haujatoka.

Namimi pia nilidhani kwamba ni matapeli, lakini kama kuna watu wengine situation kama hiyo imewakuta, haya mambo yanaweza kuwa na uhalisia.
 
Mimi kuna rafiki yangu ameanza kazi na alipigiwa simu hivi hiv, alifanya interview mwez wa kwanza mwishon, akaitwa mwezi wa 2 mwishon na alishaanza kazi tayari, lakin paka leo majibu yao ya kuitwa kazin utumush hawajapost
Ohooo
 
Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
Mkuu wewe uko kada gani, kuna dada alifanya usaili wa afisa mifugo msaidizi na kapigiwa simu na HR wa halmashauri aliyopangiwa, wakati mkeka bado haujatoka.
HR anamuuliza vipi mbona haujafika kuripoti, dada anashangaa, anahisi ni matapeli.

Tubadilishane uzoefu mkuu kwenye hili, huenda tukasaidia wanaokutana na scenario kama hizi.
 
Hii case ni serious.

Nashukuru mkuu umeiibua.

Kuna dada mmoja kapigiwa simu pia na afisa utumishi wa halmashauri aliyopangiwa (BUSOKELO, iko Mbeya)
Anaulizwa mbona bado haujaja kuripoti kazini ?

Dada alifanya usaili wa afisa mifugo msaidizi, na yuko Mwanza now.
Hiyo halmashauri ya busokelo inaonesha utumishi waliisahau kutoa list ya staff wake, Mimi pia kuna kaka amepigiwa simu na hr wa huko akaripot kazini ameambiwa barua yake ilitumwa huko tangu mwezi wa tatu, ndio ameelekea huko kwenye halmashauri kuripot

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Dah nasikitika kwa nn niliingia kweny haya masuala ya ajira kupitia psrs.

Huyu mwaka unakimbia alaf mikakati haiend kila siku naamin kesho nitajua moja ili nijue nafanyaje lkn kesho haifiki had muda huu.

Na Kujisahaulisha haya mambo ya psrs sio jambo la kitoto jmn.
Pole sana mkuu sio wewe pekee unaepitia situation kama hiyo...
 
Hiyo halmashauri ya busokelo inaonesha utumishi waliisahau kutoa list ya staff wake, Mimi pia kuna kaka amepigiwa simu na hr wa huko akaripot kazini ameambiwa barua yake ilitumwa huko tangu mwezi wa tatu, ndio ameelekea huko kwenye halmashauri kuripot

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Haya mambo haya bana, imagine mnasahaulika, nyie.
 
Dah nasikitika kwa nn niliingia kweny haya masuala ya ajira kupitia psrs.

Huyu mwaka unakimbia alaf mikakati haiend kila siku naamin kesho nitajua moja ili nijue nafanyaje lkn kesho haifiki had muda huu.

Na Kujisahaulisha haya mambo ya psrs sio jambo la kitoto jmn.
Kuna baadhi wanaweza wasielewe hiki ulichoandika. Ila kwa tunaopitia hii situation Mungu pekee ndio anajua.
 
Dah nasikitika kwa nn niliingia kweny haya masuala ya ajira kupitia psrs.

Huyu mwaka unakimbia alaf mikakati haiend kila siku naamin kesho nitajua moja ili nijue nafanyaje lkn kesho haifiki had muda huu.

Na Kujisahaulisha haya mambo ya psrs sio jambo la kitoto jmn.
Usikate tamaa ushindi unakuja Mwenyez Mungu awaone watu wote mlio katika hatua hii inshallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kada gani ukute ni wale wanaofnyia saili huko halmashauri na sio utumishi mfano watendaji wa kata,maderva nk
Afisa Mifugo msaidizi,
hii inatokea maana kabla jina halijatoka utumishi,huwa yanatumwa kwanza halmashauri husika,so siku unaenda kuripoti habari zako tayari zinakuwa zimeshafika kabla yako,n
kwa hiyo umeitwa kituoni kabla ya majbu, na umeitwa kama database au ndio sehemu uliyoomba
Majibu gan wewe,majibu ya oral yalijulikana tangu ulipomaliza tu kujibu maswali kwenye chumba Cha interview,au ulijua wanaenda kuyasahihisha ?
 
hii statement "kuwa na subira " nyepesi kumuambia mtu sio kuambiwa aysee subira ni chungu.

psrs kwa hili suala la kuchelewa placement wanadhuru vijana wengi kiafya( saikolojia) , kiuchumi na kijamii.

manufaa wanapata watu wachache sana na wengi wanaambulia maumivu tyuu na kupoteza muda. Japo haya madhara yasingetokea kama mchakato ungekuwa ndani ya kipindi kifupi.

Wengine kwetu kukosa nafasi yq kazi sio ishu coz tushapoteza vitu vingi kwenye maisha yetu vya msingi kuliko hizo kazi lakini maisha yanaenda poaa tyu ila kwa huu utaratibu wa hawa jamaa ni komesha.

unanyanyasa vijana elfu 50000 unawapa kazi vijana 1000. Hii sio sawa.

Tunajua serikali haiwezi tuajiri sote sawa. Tena wao ndo wanatuundia njama ya kutupoteza kwenye mchezo kabisaa duuh.
 
Hiyo halmashauri ya busokelo inaonesha utumishi waliisahau kutoa list ya staff wake, Mimi pia kuna kaka amepigiwa simu na hr wa huko akaripot kazini ameambiwa barua yake ilitumwa huko tangu mwezi wa tatu, ndio ameelekea huko kwenye halmashauri kuripot

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hii ni wilaya mpya so Ina afisa mifugo mmoja tu halmashauri nzima ndo maana wanawahitaji kwa haraka mno
 
Mimi kuna rafiki yangu ameanza kazi na alipigiwa simu hivi hiv, alifanya interview mwez wa kwanza mwishon, akaitwa mwezi wa 2 mwishon na alishaanza kazi tayari, lakin paka leo majibu yao ya kuitwa kazin utumush hawajapost
Hali hii ya kukosa uwazi ndio hutumika kupitishia watu kimyakimya na unaweza kukuta kuna baadhi ya watu hata hawakuwahi kufanya usaili!!
 
Kuna dada case ya namna hiyo imemtokea, amepigiwa simu na afisa utumishi wa wilaya aliyopangiwa (Busokelo, afisa huyo alijitambulisha) wakati yeye hajapata barua na pia mkeka bado haujatoka.

Namimi pia nilidhani kwamba ni matapeli, lakini kama kuna watu wengine situation kama hiyo imewakuta, haya mambo yanaweza kuwa na uhalisia.
Ni kweli yana uhalisia lakini si vizuri!! Unajua kuna watu wengi wanashinda wakisubiria pdf zianikwe hadharani halafu wengine wanaitwa kimya kimya bila kutangazwa hadharani inakuwa si nzuri sana!! Hakuna anayeweza kuthibitisha uhalali wa kustahili nafasi hizo! Yawezekana akachomekwa humo mtu ambaye hata hajawahi kufanya oral interview na watu wasijue!
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma😓 nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
 
Back
Top Bottom