mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
daah nimeacha ramli mkuuRamli inasemaje mpaka sasa hv
daah nimeacha ramli mkuuRamli inasemaje mpaka sasa hv
Utakua upo ndotoni wewe, amka.Mbona kelele hizi Jamii forum zimewatoa Waziri,N/W na Katibu mkuu Utumishi mpk Mama(rais) anakiri anatembelea J/forum...
naona unabishana na ukweli mkuu.Utakua upo ndotoni wewe, amka.
Kina nape, mwezi wa kwanza wangekua benchi sasahivi. Acha mihemko
Nisawa kama zile za nyuma yenu wameshatoa placement, ila ingekuwa mbele yenu hapo ndo ingekuwa shidaKuna taasisi moja nilienda kufanya usahili mwezi wa pili mwanzoni, mpaka sasahv hawajatoa placements. Sijajua psrs wapo busy na halmashauri au ndo nafasi chache chache wanaachana nazo? Nimeshangaa taasisi zilizofanya usahili nyuma yetu wameshatoa placements lakini hii niliyoenda mimi bado! Sitaki kuamini kama bado wanaendelea na vikao au ni wapo busy sanaaaa![emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2]waje tu watoe ushuhuda kwani halmashauri pia kuna chochote kitu si haba tofauti na kama ambavyo wangekua hawajapata kabisa wanasota mtaaani.Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda.
Pdf ina watu 200 hata mmoja kweli hayupo.
[emoji3]mkeka mzima mbona haiwezekani sababu wameshapunguza watu kutoka kwenye hiyo idadi 1905, inabidi kuvumilia twende nao kwa system waliyoianzisha tu hamna namna .Sasa sijui ndio wapo katikati au wanamaliza maana kama post yangu mm sielewi hata zimebaki nafasi ngapi yani.!Mimi wakitoa mkeka mzima wa mda and LGAs hata kama sipo sitakuwa na kinyongo ila watoe majina yoote 1905
kwamba wameondolewa kisa jamii forum, haha sawanaona unabishana na ukweli mkuu.
Rais samia alikiri anapitia maoni ya watu humu jf. spika wa bunge Dr tulia ackson yeye pia kahimiza ni mdau wa jf na kaomba isitoe taarifa zenye kupotosha.
kumbuka aliye anzisha huu uzi alikula ban ya muda mrefu kisa title ya huu uzi kachiliwa hivi karibuni na baada ya hapo imewasukuma sekretarieti kufungua account yao humu.
kilio chetu na mashinikizo ya wadau yakamfanya rais kufanya amendment mbali mbali ikiwemo waziri na naibu waziri wa utumishi kuondoshwa.
Rudia kusoma kilicho andikwa, tunalazimisha kutoa placement kwa wakati na si kulazimisha kutoa ajira ambayo ni hiari ya mwajir.Jobless unataka shinikiza serikali ikuajiri [emoji1]Mimi sikuelewi mkuu.
Unaona kama ajira ni haki ya msingi[emoji1]
Vipi kama muajiri Hana uwezo wa kukuajiri atakulipa Nini!?
Kujitolewa hutaki na mwajiri Hana fund za kuajiri ni both team to score.
Anyway endelea kusaka mrija wa asali with no expectations sababu itakuumiza zaidi.
Una hojaRudia kusoma kilicho andikwa, tunalazimisha kutoa placement kwa wakati na si kulazimisha kutoa ajira ambayo ni hiari ya mwajir.
Kutoa matokeo ni lazima maana watu wametumia pesa zao kwenda Dodoma ndio maana hata rais aliwasisitiza hilo ila sema inaonesha kuna mizizi inapasika kung'olewa kabisa.
Nilichanganya hapo, nilitaka kumaanisha mbele yetuNisawa kama zile za nyuma yenu wameshatoa placement, ila ingekuwa mbele yenu hapo ndo ingekuwa shida
😳Tuendelee kua na imani, naona sahili nyingi zishaanza kusitishwa kwa mantiki iyo wataanza kuchukua watu wa kwenye database mbaka waishe ndio zitangazwa nafasi nyingine.
Twitter ni powerful and viral, retweets zingekua kibao, notifications za mama na naibu waziri zikijaa mbona faster jobless wanachomoka toka kwenye magunia ya databaseTuendelee kua na imani, naona sahili nyingi zishaanza kusitishwa kwa mantiki iyo wataanza kuchukua watu wa kwenye database mbaka waishe ndio zitangazwa nafasi nyingine.