HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba kuuliza hizo nafasi za kazi walizotangaza must mbona watu walishafanyaga usàhili au kazi za ukufunzi wa vyuo hawachukui database? Yan post Moja Moja kweli kanzidata haina mtu
 
View attachment 2599382
Kama utekelezaji wa kanzidata upo kwa njia hii, kazi ipo kupata hizo kazi. Na itachukua miaka miwili au mitatu kuitisha saili tena, kilichowakumba graduate wa mwaka 2015 na 2016, kinaenda kuwakumba graduate wa 2022.
Hili linapaswa kutazamwa kwa umakini zaidi.
Hamna uzuri mama anamwaga ajira hvy zitatoka tu soon sababu sioni umuhimu wa kujazana dom Kila siku kwa post chache ambazo database watu wapo na walifaulu sahili zilizopita
 
Kuna taasisi moja nilienda kufanya usahili mwezi wa pili mwanzoni, mpaka sasahv hawajatoa placements. Sijajua psrs wapo busy na halmashauri au ndo nafasi chache chache wanaachana nazo? Nimeshangaa taasisi zilizofanya usahili mbele yetu wameshatoa placements lakini hii niliyoenda mimi bado! Sitaki kuamini kama bado wanaendelea na vikao au ni wapo busy sanaaaa![emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia mkuu kuna Mimi wa Novemba 2022 Bado nasikilizia
 
Kanzidata nilichokuja kugundua imekaa kisiasa sana ukitgmea kanzidata unaweza kuwehuka...bora kufucus forwad t kupambana na received zijazo
 
View attachment 2599382
Kama utekelezaji wa kanzidata upo kwa njia hii, kazi ipo kupata hizo kazi. Na itachukua miaka miwili au mitatu kuitisha saili tena, kilichowakumba graduate wa mwaka 2015 na 2016, kinaenda kuwakumba graduate wa 2022.
Hili linapaswa kutazamwa kwa umakini zaidi.
Watu 1769 tu ulimi njee kuwaajiri imekua kama unaajiri watu laki 1,kazi ipo kubwa sna ajira nchi hii...tuendlee tu kupambana ndug zngu mwenye rizik yake sereklini ataipata na asie na riziki serklini atapata mtaani maisha ynabidi yaendlee
 
Ni suala la muda tu wakuu, itafikia kipindi wengi humu myakuwa asalini, kikubwa tusikate tamaa, walikuwepo wengi sana na leo hii hawakukata tamaa na wamo kwenye mataasisi mbalimbali wengine wanaview tu na wengine wana comment. Kila jambo lina makusudio na wakati wake, tuishi leo kwa matokeo ya kesho.....Ongeza received, jipange tena, panga mashambulizi ushindi utakukutia njiani.
 
Hamna uzuri mama anamwaga ajira hvy zitatoka tu soon sababu sioni umuhimu wa kujazana dom Kila siku kwa post chache ambazo database watu wapo na walifaulu sahili zilizopita
Halipo sawa hilo, soma tangazo vizuri, mara ya kwanza walihitaji watu 14, tangazo la sasa lililositishwa linahitaji 23 ambao ndo hao watatoka database.

Kama wataendelea hivi, hakika kwa idadi ya post zinazokuja, na sahili zilizofanyika mwaka jana, karibia katika kila kada,ni wazi sahili zitasimama kwa miaka kadhaa, na itawanyima fursa ya kugonbea nafasi kwa graduate wapya, kuanzia hawa wa 2022.

Nafasi iwe moja au mia, waite watu dom, mwenye uhitaji wa kazi atakwenda. Hili la data base linatengeneza tatizo lingine kama lile la awamu ajira ziliposimamishwa kwa muda.
 
Ni suala la muda tu wakuu, itafikia kipindi wengi humu myakuwa asalini, kikubwa tusikate tamaa, walikuwepo wengi sana na leo hii hawakukata tamaa na wamo kwenye mataasisi mbalimbali wengine wanaview tu na wengine wana comment. Kila jambo lina makusudio na wakati wake, tuishi leo kwa matokeo ya kesho.....Ongeza received, jipange tena, panga mashambulizi ushindi utakukutia njiani.
Hizo receive zinazokuja, zimeanza kuwa cancelled kwa kivuli cha kanzidata, na haijulikani huko kanzidata wapo watu wangapi, hali bado tete.
 
Watu 1769 tu ulimi njee kuwaajiri imekua kama unaajiri watu laki 1,kazi ipo kubwa sna ajira nchi hii...tuendlee tu kupambana ndug zngu mwenye rizik yake sereklini ataipata na asie na riziki serklini atapata mtaani maisha ynabidi yaendlee
Hii psrs inahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa mnoo, ikiwemo marekebisho ya sheria yake mama.
 
Halipo sawa hilo, soma tangazo vizuri, mara ya kwanza walihitaji watu 14, tangazo la sasa lililositishwa linahitaji 23 ambao ndo hao watatoka database.

Kama wataendelea hivi, hakika kwa idadi ya post zinazokuja, na sahili zilizofanyika mwaka jana, karibia katika kila kada,ni wazi sahili zitasimama kwa miaka kadhaa, na itawanyima fursa ya kugonbea nafasi kwa graduate wapya, kuanzia hawa wa 2022.

Nafasi iwe moja au mia, waite watu dom, mwenye uhitaji wa kazi atakwenda. Hili la data base linatengeneza tatizo lingine kama lile la awamu ajira ziliposimamishwa kwa muda.
Sasa si ni yaleyale tu, wakichukua kanzi data wakiitisha saili mpya inakuwa ni vilevile tu, sijajua umezungumza nini hapo, tena ni vema wangechukua toka kanzi data ili angalau wale waliotangulia kumaliza vyuo na kufanya saili wakapata kwanza hapo angalau usawa unakuwepo,
 
Ni suala la muda tu wakuu, itafikia kipindi wengi humu myakuwa asalini, kikubwa tusikate tamaa, walikuwepo wengi sana na leo hii hawakukata tamaa na wamo kwenye mataasisi mbalimbali wengine wanaview tu na wengine wana comment. Kila jambo lina makusudio na wakati wake, tuishi leo kwa matokeo ya kesho.....Ongeza received, jipange tena, panga mashambulizi ushindi utakukutia njiani.
Yah tuishi kwa Imani hii, mambo yanabadilika kila kukicha tuendelee kumuomba Mungu tu , yeye akiamua mambo yatabadilika tu, na wote humu tutalamba Asali , tusikate tamaa tujipe Moyo Mkuu.
 
Halipo sawa hilo, soma tangazo vizuri, mara ya kwanza walihitaji watu 14, tangazo la sasa lililositishwa linahitaji 23 ambao ndo hao watatoka database.

Kama wataendelea hivi, hakika kwa idadi ya post zinazokuja, na sahili zilizofanyika mwaka jana, karibia katika kila kada,ni wazi sahili zitasimama kwa miaka kadhaa, na itawanyima fursa ya kugonbea nafasi kwa graduate wapya, kuanzia hawa wa 2022.

Nafasi iwe moja au mia, waite watu dom, mwenye uhitaji wa kazi atakwenda. Hili la data base linatengeneza tatizo lingine kama lile la awamu ajira ziliposimamishwa kwa muda.
Wanatakiwa wafanye nini sasa mbona tunakua hatuna jema kabisa wakiitisha sahili mpya tunakosoa na wakitaka kuchukua watu wa database ili wakiisha ndio waitishe sahili mpya bado tunakosoa ama kweli bado tuna safari ndefu sna
 
Sasa si ni yaleyale tu, wakichukua kanzi data wakiitisha saili mpya inakuwa ni vilevile tu, sijajua umezungumza nini hapo, tena ni vema wangechukua toka kanzi data ili angalau wale waliotangulia kumaliza vyuo na kufanya saili wakapata kwanza hapo angalau usawa unakuwepo,
Haiwezi kuwa vile vile, hilo la kanzidata lifutwe, kila nafasi zikitoka shindinishwe kwa mujibu wa vigezo na vipimo vya muajiri husika, isitokee graduate wa mwaka fulani kushindwa kupata hata nafasi ya kushiriki kushindania nafasi hizo, kwa kivuli cha kanzidata.
 
Wanatakiwa wafanye nini sasa mbona tunakua hatuna jema kabisa wakiitisha sahili mpya tunakosoa na wakitaka kuchukua watu wa database ili wakiisha ndio waitishe sahili mpya bado tunakosoa ama kweli bado tuna safari ndefu sna
Mi nawashangaa watu wengine hawana msimamo watu tumelilia database la mhagama had tumechoka.
Mimi naona kanzidata ni nzuri kama itatumika ipasavyo. Sababu itapunguza gharama kwa serikali na jobless na pia itasaidia wale wanaofaulu kupata nafasi. Watu wamechoka kuhudhuria sahili na hivi mchakato ni mrefu kanzidata itapunguza makali kiasi
 
Ungekua umefaulu oral zaid ya mara 1 na kukosa nafasi nadhani ungelewa uchungu wanaopata wakikosa placement.
Pia wengine uwezo hawana wa kuhudhuria sahili Kila mara sasa kanzidata itakua nzuri kupunguza machungu kwa yule ambaye kipato ni kidogo
Pia ungeelewa kutoboa mitihan ya psrs sio rahis kama unavyodhani competition ni kubwa na wengi tunatafuta ajira hivyo mtu akifaulu akakosa nafasi ni vyema kupata second chance
 
Wanatakiwa wafanye nini sasa mbona tunakua hatuna jema kabisa wakiitisha sahili mpya tunakosoa na wakitaka kuchukua watu wa database ili wakiisha ndio waitishe sahili mpya bado tunakosoa ama kweli bado tuna safari ndefu sna
Kinachotakiwa kufanyika ni kutoa placement zilizoko pending zote, MDA's na LGA's na za taasisi ambazo bado, kila mmoja atajua amesimamia wapi, waendelee kuita kwa hizi nafasi zinazoendelea kutangazwa.
 
Mi nawashangaa watu wengine hawana msimamo watu tumelilia database la mhagama had tumechoka.
Mimi naona kanzidata ni nzuri kama itatumika ipasavyo. Sababu itapunguza gharama kwa serikali na jobless na pia itasaidia wale wanaofaulu kupata nafasi. Watu wamechoka kuhudhuria sahili na hivi mchakato ni mrefu kanzidata itapunguza makali kiasi
Nilichoona ata siku hakutakuja kua na umoja na majobless kwa sababu kumbe wengine wakitaka database ifanye kazi na kupaza sauti kqa viongozi, kuna majobless wengine wanafurahia kutofanya kazi na wanaomba kabisa isiwepo au ifutiliwe mbali kabisa alafu mwisho wa siku tuna walaumu utumishi kua hawatendeki haki.NI MBAYA SANA KWA WASOMI KUTOKUA NA MISIMAMO DHABITI KWENYE KUPIGANIA LENGO MOJA
 
Back
Top Bottom