HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Na Leo tena Pawe patupu, moja ya sababu nyingine ya kuchelewesha pia placement IT anahusika
Sasa IT anahusika nn, unajua kazi ya IT ww hao watu kazi zao sio kuapload hizo placement mkuu, hiyo kazi hata kama wanafanya ni mpaka wapewe mkeka uwe approved .Kupandisha majina kwenye mfumo hata secretary anafanya mnamlaumu IT,tuache ramli jamani mambo ni mengi tuwaache wakija wanakuja na majina mengi ili ye malalamimo yaishe
 
Back
Top Bottom