HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Iko hivi hawa jamaa placement wanatoa ijumaa hadi ijumaa nmeshawajua msitegemee kitu Leo kesho watatoa lakini ni kB 19
 
Iko hivi hawa jamaa placement wanatoa ijumaa hadi ijumaa nmeshawajua msitegee kitu Leo kesho watatoa lakini ni kB 19
Ndugu yangu hao hawaeleweki na hawatabiliki usishangae wakatoa jumamosi usiku
 
Iko hivi hawa jamaa placement wanatoa ijumaa hadi ijumaa nmeshawajua msitegemee kitu Leo kesho watatoa lakini ni kB 19
Hii nadharia tulikuwa nayo humu mwaka jana, zilikuwa zinatoka kila Jumanne, ila baadae zikawa hazieleweki siku maalum
 
Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Mkuu naomba unicheck PM kuna mtu anaweza kukusaidi kwenye hii issue yako.
 
Mbona kuna graduates wa 2021 walipata TRA zile za. Mwezi wa 3 mwaka jana , vipi unazikumbuka


Tena vijana wadogo aseee 21 yrs 22 yrs hivo vina beba. Asali

Walipata kazi kwa sababu walianya vizuri kuliko wengine waliokosa.

Ukifany vizuri kigezo Cha umri kia mdogo au mkubwa akitumiki hapo.
 
Hilo deni la Tigo pesa unakopaje Acha nijikopee mimi
tigo pesa Kuna muda mfumo wao huwa unayumba, Kuna kipindi nilikuwa naamisha kiasi Cha pesa kutoka kwenye online wallet kwenda tigo pesa. Ajabu nikakuta kias nilichoamisha kimekua doubled.

Sikujua kuwa ni wao tigo ndiyo wamekosea, nikadhan labda n hyo kampuni nyngine ya mtandaon. Sasa siku ya siku nipo Dom kweny usail wa oral, nimedeposit kias kidogo tu kwa ajili ya kuunga kifurush pesa ikakatwa.

Baada ya kuwapigia, ndiyo nikaambiwa kuwa Kuna siku niliamisha pesa wakaniwekea mara mbili sabab ya makosa ya ya kimtandao.

Kwa hyo mpaka sasa huwa naogopa ku deposit kwa mtandaon huo sabab ya hcho kimeo kwan n pesa ndefu tu.
 
Back
Top Bottom