Duh pole sn a
Ndio ivyo aise AhsanteDuh pole sn aisee
Duh pole sn a
Ndio ivyo aise AhsanteDuh pole sn aisee
Pole sna ndugu ila tujitahidi sna vijana wenzangu tusiwe loan defaulters kwa sababu wakisha kublack list kwenye system zao ni ngumu sna kuaminika kwenye taasisi yote yote ile hasa za kifedha kama bank kwa kua wana system ya credit reference bureau (CRB) hii ina link na taasisi yote yote ile uliyowahi kuchukua mkopo na wakikuta ni mdeni sugu basi unakosa sifa kuaminika tena.Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Duh mbona mambo yanazidi kuwa magumu,deni yani ulikopa hujarudisha tangu mwaka jana? Ni la tigo pesa kama pesa n Au ulikopa vocha ?Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Pole sana aiseeeJamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Eeeh kweli balaa.. kwenye pesa usizecheze na pesa.Jamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Mfwende sawadogo na masoja wengine fursa hiyo. HIYO TAASISI NAO WANATOA ASALI YA UKWELIView attachment Tazama-Pipe-Line-Vacancies (1).pdfumeandika nn mkuu??
chronic depression itatumaliza wengi
Aina hizi za kazi utaelewa kirefu cha CONNECTION in tiZiiMfwende sawadogo na masoja wengine fursa hiyo. HIYO TAASISI NAO WANATOA ASALI YA UKWELIView attachment 2599841
Taasisi za fedha wapogo sensitive sana na mambo ya fedha, vitambulisho vya Taifa ndo vimekuja haribu kila kituJamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
Ndugai spka mstaafprove kiongozi aliewajibishwa kwa kelele na prove hio logic yako kwamba inasaidia. Nimekaa paleee....
Leo sikukuu ya muungano, japo lolote lawezekana siunajua ukipiga mzigo ndani ya sikukuu ni double hela.Wazee wa ramli Vipi Leo kuna dalili ya pdf
Yaani ajira mpya na za nyuma bado hawajaita watu kazini
@ orosso akaunt yako imedukuliwa au unadata? Maana ulikua vizuri tuHapa umepuyanga tu, sijaona hata maana ya kuni-quote.
Hizi ni siasa tu za mwaka 2022/23 hzikuisha nchi hii kuna mambo y kufedhehesha san
Wanajitoa akili katika mijadala, ilibidi niende nao sawa kwanza.@ orosso akaunt yako imedukuliwa au unadata? Maana ulikua vizuri tu
Hilo deni la Tigo pesa unakopaje Acha nijikopee mimiDuh mbona mambo yanazidi kuwa magumu,deni yani ulikopa hujarudisha tangu mwaka jana? Ni la tigo pesa kama pesa n Au ulikopa vocha ?
Haya ndio mambo ya kupigia kelele, watoe placement kwa sahili zote zilizopita, ndipo waendelee na mchakato hii.Hizi ni siasa tu za mwaka 2022/23 hzikuisha nchi hii kuna mambo y kufedhehesha san
Nchi yetu tu kuna madeni sugu imeshindwa kuwalipa wafadhili, haya yote coz ajira mtiti so unakuta unatafutiwa kijisababu usepeshweJamn napenda kuuliza nimefanya interview NMB direct sales officer nikafanikiwa kuitwa kituo cha kazi wiki iliyopita Tabora. wakaniambia nitafute baadhi ya documents kama vile barua kutoka serikali ya mtaa ninapoishi, na nicheki afya yangu nipate barua kutoka kwa daktari. Yote ayo niliyafanya ila nimekuja kushtushwa kwamba leo ninatakiwa kusaini mkataba wa kazi wananiambia kazi sina kwakuwa wamenifatilia wakagundua nina deni nyuma kutoka mtandao wa Tigo wa mwaka jana March sikulipa kwaiyo kazi wameifuta. Nimejaribu hata kubembeleza na kuilipa apo apo lakini wamekataa katakata. Daaaaah AISE nimeumia sanaaaaa. Ushauri tu kwa vijana wenzangu hizi financial institutions kama CRDM, NMB, NBC, TCB wameanzisha huo mfumo wakutrack line yako kupitia NIDA number yako then wanaangalia vitu vingi sanaaaa hasa ishu za kipesa. Kwaiyo kama ni mkopaji sugu hakikisha pesa ya watu unairudisha maana unaweza jikuta hata interview mtu huitwi kumbe ni mambo kama ayo.
ulinzi wanalipaje hawa tazama?? maana njmeona post zao 17Mfwende sawadogo na masoja wengine fursa hiyo. HIYO TAASISI NAO WANATOA ASALI YA UKWELIView attachment 2599841