HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda.


Pdf ina watu 200 hata mmoja kweli hayupo.
Inafikirika
 
Utumishi usanii mwingi sana, tutafute connection tu
Tuwe na subira.....kuna mambo nimeona ijumaa wameyatoa kwenye page yao ya Utumishi wanadhamira maboresho kwenye system ya utumishi kutambua upungufu wa wafanyakazi.

Note Tatizo watu mnatumia majina sio ndo maana wanafanya wanavyotaka wanaona mda wote ni siasa wanawachafua wao kumbe jambo serious kwa vijana ila tukisimama letu moja PDF LA MHAGAMA watatoa....kama twitter kule

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Tuwe na subira.....kuna mambo nimeona ijumaa wameyatoa kwenye page yao ya Utumishi wanadhamira maboresho kwenye system ya utumishi kutambua upungufu wa wafanyakazi....Note Tatizo watu mnatumia majina sio ndo maana wanafanya wanavyotaka wanaona mda wote ni siasa wanawachafua wao kumbe jambo serious kwa vijana ila tukisimama letu moja PDF LA MHAGAMA watatoa....kama twitter kule

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tatizo hatujui ukubwa wa shida yetu na wapi tuanzie zipo njia sahihi zakupita na tukasaidiwa
 
Kada gani mkuu...maana hii tz bana unaweza fikili kada ni afya na ualimu tu kuna sekta hawazip kipaumbele na ndio kwenye wekezaji kubwa
Nafasi 1700 tu zimewashinda,bongo ikisemwa ajira ni afya na ualimu
 
Back
Top Bottom