HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi nilikuwa na wazo ndugu zangu,
Hebu tuache kulalamika nyuma ya keyboard na tutafute njia mbadala za kuelezea hili tatizo la michakato kuwa ya muda mrefu maana tunacholalamikia sio uchache wa nafasi ila ni michakato kutokuwa na ukomo,bahati mbaya hata wabunge wetu nao wakati wa kujadiki bajeti walijikita kwa walinu na wataalam wa afya tu as if nchi ina wasomi na wahitaji ajira kwa kada hizo tu!!

Nadhani kuna haja ya kutafuta watu wenye ushawishi waite press na kuiadress hii inshu vizuri ili ieleweke, na press yenyewe waainishe na mifano ya michakato iliyochukua muda mrefu na mingine kuishia hewani bila kurudi na feedback za placement, na watu wa kuweza kuzungumzia hili jambo kwa upana huu ni either mwenyekiti wa vijana BAVICHA AU ACT na tena isiwe humu kwenye mitandao ya kijamii bali iitwe press na hili jambo lisemwe kwa upana wake,
Humu tumeshalalamika sana bahati mbaya kwa utafiti wangu ni kuwa kilio chetu kinaishia kwa wale wale wanaocheleweaha mchakato,basi ni heri waseme watu wote mlifeli au wasiite interview maana ni haki ya mtu kupata matokeo kwa kile alichofanya,sasa hivi kila siku ni mchakato mchakato,hivi kuna mchakato sensitive kama wa uchaguzi??mbona unaisha muda mfupi??lkn huu wa ajira ni kama wa chura napo hadi apigwe teke ndio asogee,watu kila siku wanalalamika wanafata barua na kukuta zina zaidi ya mwezi tangu ziandikwe lkn tukirudi huku kauli ni mchakato.

Hebu tuamke tuone namna iliyo bora ya kufikisha taarifa kwa wahusika wa maamuzi,mtu kama pambalu au nondo wanatakiwa waite press na kuichambua hii kitu kwa upana ieleweke kwa jamii.
Labda tumtumia kaka martin masese mtikila, Martin Maranja Masese , ATUPE UPPER HAND TWITTER
 
Hakuna mpya mkuu web imenunaa
leo pdf niliipa 100% kuachiwa siwezi badili msimamo , nasubir lost ama won kama ilivo mikeka ya kubeti.

tutaishi kwa imani mpaka siku ya mwisho, ebu fikiria hakuna aijuae kesho lakini kama wanadamu tunapanga hesabu za miaka na miaka kiuwekezaji kuwa tutafanya hivi na vile yote sababu tunaimani na positive attitude. hakuna anaye fanya jambo aka expect kufeli feli tu ,ama upo duniani halafu una expect kufa kufa tu.

tuishi kwa imani wakuu wangu ,tutafanikiwa kwa yale tufanyayo iwe street ama kwa hawa PSRS
 
Haya sio maisha mkuu tutakufa Kwa kihoro😤
 
unajua ku accommodate jobless sio rahis yote sababu ya kuto ajirika kwa zaidi ya miaka 5 iliyopita so saiz kuna competition kubwa kwenye job market hali inayopelekea rushwa, na upendeleo kulingana na udini,ukabila ,ukanda nk
SAwa WAKALA 🤣🤣
 
Back
Top Bottom