HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
mkuu huo ndio uhalisia, mwigulu alisema karibia kila mwaka nchi inazalisha graduate 1m+ na wanaopata ajira rasmi ni watu 10k+ tu kitu kama hicho . sasa namba nyingine hio isio na ajira rasmi iko wapii??
Hakika kwa takwimu hizo ni bora tubadili mtazamo otherwise naona after 20 years hali itakuwa mbaya zaidi ya hapa tulipo.Tukiwezeshwa kutafuta mitaji biashara na vipaji vitatutoa hapa tulipo. Uhalisia ni kwamba hataiweje hii nchi hawezi ajiri vijana wote hao watumishi wote wa serikalini hawafiki laki 6+ ina maana naona kabisa vyuo vinajitahidi kutengeneza wauza supu ya pweza wengi😁😁
 
leo pdf niliipa 100% kuachiwa siwezi badili msimamo , nasubir lost ama won kama ilivo mikeka ya kubeti.

tutaishi kwa imani mpaka siku ya mwisho, ebu fikiria hakuna aijuae kesho lakini kama wanadamu tunapanga hesabu za miaka na miaka kiuwekezaji kuwa tutafanya hivi na vile yote sababu tunaimani na positive attitude. hakuna anaye fanya jambo aka expect kufeli feli tu ,ama upo duniani halafu una expect kufa kufa tu.

tuishi kwa imani wakuu wangu ,tutafanikiwa kwa yale tufanyayo iwe street ama kwa hawa PSRS
Leo ramli ila kesho au juma mosi uhakika
 
Hiyo

Hiyo Wizara ni kubwa inahusisha vitengo vingi wanatakiwa waongezewe ili isaidie kupeleka michakato yao kwa weledi zaidi.
We jamaa acha kuchanganya Mambo, bajeti ya wizara nzima ni 1 trillion na point....
90% ni matumizi ya kawaida, iliyobaki Ndio ya maendeleo 🤣,
PSRS wamekuja billions 13 kibindoni
 
PSRS wamekuja billions

Siwa tetei ila kwa kazi walizo kuwa nazo hao jamaa,hiyo hela ni ndogo kumbuka hapo kuna per dm, kuna hela za wakufunzi kutunga mitihani ,consultant mbalimbali bado huja sahihisha paper za jobless kila usaili walimu wana kuja ku mark na wana kunja mkwanja per day, kwa kazi zao hiyo hela ni ndogo ina bidi waongezewe mzigo ili mambo ya corruption ya pungue, walipwe vuzuri wana deal na maisha ya watu ukiwabana sana hao watu utaambulia lawama kaka😒
 
Tatizo watu hatuelewi hiyo kwa ujumla ni Ofisi ya Rais, msiwachukulie poa PSRS ,ni Office nyeti sana na hata majukumu yao ni mazito sana hao jamaa, kumbuka wana deal na recrutment process, kwa maisha ya saiz ungekuwa HR ungeelewa vizuri ,hiyo sio wizara ya uvuvi na mifugo😒😒 , hao watu wana majukumu mazito sana ndio maana wapo Independent sana ,Kuna wizara kitengo kimoja budget yake inakuwa kubwa ukilinganisha na budget nzima ya wizara nyingine
 
Mbona mnakimbilia kuingezewa budget TU Yan 😂,, mbona hamsemi mna upungufu wa wafanyakazi
 
Tatizo watu hatuelewi hiyo kwa ujumla ni Ofisi ya Rais, msiwachukulie poa PSRS ,ni Office nyeti sana na hata majukumu yao ni mazito sana hao jamaa, kumbuka wana deal na recrutment process, kwa maisha ya saiz ungekuwa HR ungeelewa vizuri ,hiyo sio wizara ya uvuvi na mifugo😒😒 , hao watu wana majukumu mazito sana ndio maana wapo Independent sana ,Kuna wizara kitengo kimoja budget yake inakuwa kubwa ukilinganisha na budget nzima ya wizara nyingine
Majukumu mazito yapi, nyie PSRS mna upungufu wa wafanyakazi kama buku hivi
 
Back
Top Bottom