Makabi Lilepo
Member
- May 28, 2023
- 79
- 118
Kaka
hongera. Hapo kwenye status umenigusa. Kumbe bado mzigo upo for oral. Kwakweli kapige kazi Kakiwakilishe chuo chako na Jina la Familia yako vizuri. Ikawe heri.Ni direct mkuu japokua Ni interview yangu ya pili kufika oral, na status mpaka Sasa inasomeka Selected for oral.
Yapo mambo mengi ya kufanya kuliko kuonesha haya. Ni kukosa ustaarabu kuwatukana Utumishi ilihali unataraji wakupe maisha. Au unadhami kuwa na fake ID ndo kigezo.?? Hii binafsi sijaipenda.Utumishi please , kama kuna Electrical Engineer aliwatukana kwenye interview basi msameeni , maana mnachofanya ni kukomoa , watu wanafanya interviews ,ninyi Kenge hamtoi Placement ,mwaka huu unaisha
Fisi maji ninyi @psrs