HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nawaona watu wakilimo huu mwaka ni wenu yaani wanangu wote waliopiga waliofika oral kwenye kada ya Kilimo naona wote mkilamba asali sehemu mbalimbali kabla ya huu mwaka kuishaa coz hh trend inaonekana mama anataka watu walime kilimo haswa, hiyo agenda 10/30 itaondoka na nyomi.

Mwanangu mfwende sawadogo Rukundo JB , anzenii kuandaa suti kufika masijala ya wazi..

# Hii ni lamuli tuh, wadau wangu...
Blessed!!
Mnatutia moyo sana sisi best loser,
 
Halmashauri hizi inategemea na mkurugenzi mlie nae. Mshahara sio issue sana kwasababu tofauti ya TGTS D na E take home ni laki 1.5
Issue ni OT. Mimi nilifanya halmashauri moja tulikuwa tunapewa OT laki 3 kila mwezi ilipita miaka miwili akaletwa mkurugenzi mpya akaondoa OT. Tuliishi maisha magumu sana maana mshahara tulishakopea imebaki take home laki 2.5
Mlifanya makosa kwa kutofanya risk assessment.

Nafasi za kuteuliwa ni muda wowote mtu anatimuliwa, hilo mlipaswa kulizingatia ili muepuke risk ya utawala wa kiongozi mpya
 
Back
Top Bottom