HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kila siku mnaambiwa wanaochelewesha taratibu za ajira ni hao waajiri wenu ila bado mnakaza ubongo mnawalaumu PSRS.

Haya, mshahara unaanza kulipwa kuanzia tarehe iliyoelezwa kwenye barua ya ajira. Barua ya ajira sio ile ya utumishi, ni ile ya taasisi iliyokuajiri ambayo huwa inataja hadi mshahara.

Kama bado hujaipata hiyo basi hujaajiriwa bado na mwajiri wako bado anakamilisha taratibu za ajira (verification ya vyeti, background check, vetting, processing of check number etc).
Huo wote ni upuuz tu , background check ,vetting ,mavi mavi ,bullshit ,kwani utumishi wanashindwa nini kufanya hiyo kitu na kumaliza within short time mpaka wanasubiri huyo mwajiri sijui ,huu ni ujinga wa wapi ?. Mfumo wa ovyo sana na kupoteza muda na ufanisi mdogo ,halafu fala kama wewe inaonekana unafurahia ,sijui babako ni mwajiriwa wa utumishi ,maana unawatetea mpaka povu linakutoka kama pimbi flani.

Badala ya kuongezeka ufanisi tunarudi nyuma tu ,huu ni upumbavu , kama ni huu ujinga taasisi waruhusiwe kuajiri wenyewe sasa ,it doesn't make sense . Mtu anachukua miezi baada ya kupewa placement then bado asubiri miezi mingine mingi kwa ajiri ya upuuz wa uhakiki na bullshit nyinginezo wakati ni prescreening ambayo ingeweza fanyika mapema mtu akipewa placement ni direct kwenye ajira na kuanza kazi
 
Yan chopamchopange , anae endeshwa na hili 👇👇li shangingi, aise siasa ni tamu, Ina bidi Wana siasa nao wapitie PSRS, au mabest losser mnasemaje
Mkeka wa ma V8 huo apo soon Raisi wa mawe ana upload.
Nchii Haina kiongozi inajiendea kama kuku aliyekatwa kichwa
View attachment 2587592

Mkeka wa ma V8 huo apo soon Raisi wa mawe ana upload.
Nchii Haina kiongozi inajiendea kama kuku aliyekatwa kichwa
View attachment 2587592
Alafu mbona wakuu wa mikoa na wilaya walishapewa mandinga mapya , au Kuna ambao walikosa
 
Huo wote ni upuuz tu , background check ,vetting ,mavi mavi ,bullshit ,kwani utumishi wanashindwa nini kufanya hiyo kitu na kumaliza within short time mpaka wanasubiri huyo mwajiri sijui ,huu ni ujinga wa wapi ?. Mfumo wa ovyo sana na kupoteza muda na ufanisi mdogo ,halafu fala kama wewe inaonekana unafurahia ,sijui babako ni mwajiriwa wa utumishi ,maana unawatetea mpaka povu linakutoka kama pimbi flani
mkuu mrushie taulo, makuruti mtauana
 
Wangekua wanatoa majibu ya oral ili watu wajue kama wamefaulu kama ilivyo kwa written maana kuna watu akiangalia hajapata placement Mara kadhaa baada ya kuomba Mara wakadhaa huwa anaachana kabisa na kuomba kazi na kuacha kufuatilia tovuti za PSRS lakini MTU akijua yupo kwenye database anaweza Mara kwa Mara kupitia tovuti aone kama atabahatika, kuliko hivi,wengine wanaweza kuja kupata placement kipind ambacho hawajategemea na kwakua hawana taarifa wakapoteza nafasi za kazi walizopata
Ili nalo ni la kupigia kelele sana, matokeo ya oral sijui wanaficha ya nn. Tena uzuri wa oral sio kama written had wasahihishe ndo marks zinajulikana. WATOE MATOKEO YA ORAL
 
Na kiuhalisia ilo swala sio la siku moja au mbili ni mchakato mrefu sana hadi taasisi kujitoa psrs na kuajiri yenyewe ila kikubwa kama watu hawana imani na psrs ni kuomba ifanyike reforms kwenye system nzima ya utumishi(psrs) na watendaji wake na sio taasisi husika kujitoa utumishi bado itakua sio solution, kwangu mimi utumishi wapo fair ukilinganisha na taasisi zikiwa zina ajiri yenyewe yani kiufupi zikiwa zina ajiri zenyew kutakua na ukilitimba wa hali ya juu kama humjui mtu au huna mbuyu basi huwezi kupata kazi kwenye taasisi zenye asili kubwa na ili lipo wazi mbona
Umeongea point kubwa sana apa:
Taasisi kujitoa psrs ziajiri zenyew sio solution, exactly iko ivo yan kwann tusijikite kwenye kuhimiza psrs ifanyiwe reform badara yake tutake kuhama directly kutoka psrs, obviously that suggestion makes no sense. Labda kama unatobo unalitegemea huko
 
PSRS ni taasisi nzuri na mm nina ushahidi rafiki yangu wakaribu kalamba asali juzijuzi hapa na nimtoto wa mzazi wa hali ya chini tumekua wote, amelamba asali wizarani.Hatuwasemi vibaya ila changamoto zao warekebishe mifumo ya kuomba kazi ikae sawa isichague cozi na kukataa zingine bila sababu muhimu, muda wa mchato upunguzwe,Katibu mkuu Offisi ya Rais akiidhinisha vibali watu waingie kazini mapema bila upendeleo wala chenga, tunajua, tunajua,tunajua vimemo vipo sana na vitakuepo sana ila mtuangalie basi akina sisi na sie tulambe japo asali ya wadudu wakubwa, hiyo ya nyuki wadogo nyie kuleni japo hii nyingine ili tubalance mambo.
Angalizo, kirudisha mchakato wote kwa waajiri wenyewe ni kusogeza buyu la asali kwa wakirugenzi,wakuu wa idara na ma HR.
Kuna taasisi ndio zina ajiri zenyewe zipo nyingi tuna zitaja TADB,TCB, NSSF,Vyuo vyote vya uma na zinginezo je unadhani kulamba asali kule kama ww sio mtoto wa nanihiyu nirahisi hivyo, si tupo tunawaona unashangaa mtu kaanzakazi
Hao wanamadudu yao mengi machafu, hatutaki ,haohao utumishi wanatosha ila warekebishe kero zinazo lalamikiwa.
Sheria za utumishi za kuajiri ni ndefu na zinawabana huwezi kufananisha nabhao wengine wakae watu wawili waajiri hatufiki ndio maana hilo Waliliona mapema ikaundwa hii taasisi.
Tuache ushabiki hapa tuongee point, we live we die, see your future 100 years utakuwa wap, tuache mazingira mazuri kwa vizazi vijavyo wajue tulifanya mambo mazuri sio kuongea bila kufikiria mbele, tusifikirie matumbo yetu tu tufikirie mustakabali wote hapo tutaonekana wa maana kuliko kwenda kiushabiki mchuzi kunoga,ushabiki maandazi, ushabibiki vutumbua tunaita.
Umemaliza kila kitu, changamoto za psrs zifanyiwe kazi iendelee na majukum yake
 
YAn hizo kero kama PSRS wangesifanyia kazi HAta huu uzi leo usingekuwepo kabisa.

Chakushangaza PSRS badala wapambanie changamoto walizo nazo,. Wanatujazia mawakala hao humu JF, kuja kupoteza mwelekeo wa uzi
Piga kelele izo changamoto zifanyiwe kazi, are u sure uko unakotaka tuhamie hamna changamoto?
Nako tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi ndugu?
 
Piga kelele izo changamoto zifanyiwe kazi, are u sure uko unakotaka tuhamie hamna changamoto?
Nako tukikuta kuna changamoto tuhamie wapi ndugu?
Point nzuri, kwa maana tatizo halitatuliwi kwa kulikimbia , bali kwa kutatua changamoto zinazo sababisha tatizo.
 
Dalili PDF
Screenshot_20230414-192405.jpg
 
Back
Top Bottom