Hayo yote yanawezekana, kukubwa kinacholalamikiwa ni kutokuepo kwa taarifaHivi unajua kua kibali kinaweza kuwa suspended au revoked kabisa??
Hayo yote yanawezekana, kukubwa kinacholalamikiwa ni kutokuepo kwa taarifaHivi unajua kua kibali kinaweza kuwa suspended au revoked kabisa??
Hizo taarifa umeanza kuzisikia Lin? Na taasisi gan ambayo mwanzo ajira zake zilikua zinapitia utumishi zimeanza kuajiri zenyewe direct,Ndy maana nimesema sina Uhakika lkn. Ni taarifa ambazo Kwa Sasa zimeshika Hatamu kuwa Zoezi la Michakato ya Ajiri lipo Juu ya Taasisi Husika
Miongoni mwa Maswali nayojiulia ni Je Kwa waliokuwa kwenye database kabla ya mabadiriko haya Hatima Yao ni Ipi?
Hakika na hiki ndicho alichoongea Mh. Raisi...kwa taasisi ambazo zina pesa zao zenyewe hazitegemei pesa kutoka serikalini zinaweza kuajiri kama zinahitaji wafanyazi wa haraka wa mikataba(mda mfupi) na sio kusubiri mbka wapelekewe na serikali au kama tahesa walivyo kua wanafanya, lakini cha kushangaza hii kauli watu wengi wameichukulia kwa mtizamo tofauti.Aliongelea kuhusu ajira za mkataba wa muda maalum, na hilo lishaanza kutekelezeka
Na lugha aliitumia nyepesi sana, nashangaa kwanini watu hawaelewi, swala la taasisi zilizokua zinaajiri kupitia psrs ili ziajiri zenyewe direct ni lazima mswada upelekwe bungeni ujadiliwe, itungwe tena sheria mpya itayozipa mamlaka taasisi kuajiri zenyewe, coz swala la psrs kuendesha sahili kwa niaba ya taasisi za uma lipo kisheria.Hakika na hiki ndicho alichoongea Mh. Raisi...kwa taasisi ambazo zina pesa zao zenyewe hazitegemei pesa kutoka serikalini zinaweza kuajiri kama zinahitaji wafanyazi wa haraka wa mikataba(mda mfupi) na sio kusubiri mbka wapelekewe na serikali au kama tahesa walivyo kua wanafanya, lakini cha kushangaza hii kauli watu wengi wameichukulia kwa mtizamo tofauti.
Umeonaeee....Nilikosa tamisemi mwaka 2021 na 2022 huku baadhi ya classmate wakilamba ile Asali, nilikuwa nasikitika sana.
Ila Mungu ni mwema, hayo yote kwa sasa kama hayajawahi kutokea
Hapana...mkuu ko waliopiga usahili utumishi imekula kwaoo!!?
Nika kutose coine huijui inaangukia wapi, by the way sidhani kama huu utaratibu wanao tumia nimzuri, maana humo ndo majina yana chomekwa and tunatarajia hao ndo wafundishe watoto wetu ana wengine ni wakunga, wanadispens dawa huko hospital na zahanati za vijijini. Tuna lalamika vifo vitokanavyo na kujifungua vingi lakini hatufanyi assesment je tunao wahudumu wenye sifa? Hatuongei ushabiki tazama ripoti ya CAG professa Asad kuhusu kuwa na watumishi ambao hawana sifa na wapo wanato huduma.Kweli mkuu ajira kama za tamisemi ni bahati na connection hakuna kipimo halisi cha kushindanisha wasahiliwa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Nisawa,, umetoa taarifa kwa husika? Twende professional kukaa kimya muda mrefu unampa maswali mengi anae subiri majibu yako.Hivi unajua kua kibali kinaweza kuwa suspended au revoked kabisa??
Na kiuhalisia ilo swala sio la siku moja au mbili ni mchakato mrefu sana hadi taasisi kujitoa psrs na kuajiri yenyewe ila kikubwa kama watu hawana imani na psrs ni kuomba ifanyike reforms kwenye system nzima ya utumishi(psrs) na watendaji wake na sio taasisi husika kujitoa utumishi bado itakua sio solution, kwangu mimi utumishi wapo fair ukilinganisha na taasisi zikiwa zina ajiri yenyewe yani kiufupi zikiwa zina ajiri zenyew kutakua na ukilitimba wa hali ya juu kama humjui mtu au huna mbuyu basi huwezi kupata kazi kwenye taasisi zenye asili kubwa na ili lipo wazi mbonaNa lugha aliitumia nyepesi sana, nashangaa kwanini watu hawaelewi, swala la taasisi zilizokua zinaajiri kupitia psrs ili ziajiri zenyewe direct ni lazima mswada upelekwe bungeni ujadiliwe, itungwe tena sheria mpya itayozipa mamlaka taasisi kuajiri zenyewe, coz swala la psrs kuendesha sahili kwa niaba ya taasisi za uma lipo kisheria.
Mfano kama huu kiongozi....Hayo ni maneno tu au wakifanya hivy wamevunja sheriaUmesikia wapi? Na taasisi gan umeona imetangaza kazi permanent yenyewe? Swala la psrs kuendesha michakato ya ajira kwa niaba ya waajiri wa ofisi za umma lipo kisheria, so taasisi kuajiri zenyewe ni hadi mswada upelekwe bungeni ili sheria ifanyiwe marekebisho
PSRS ni taasisi nzuri na mm nina ushahidi rafiki yangu wakaribu kalamba asali juzijuzi hapa na nimtoto wa mzazi wa hali ya chini tumekua wote, amelamba asali wizarani.Hatuwasemi vibaya ila changamoto zao warekebishe mifumo ya kuomba kazi ikae sawa isichague cozi na kukataa zingine bila sababu muhimu, muda wa mchato upunguzwe. Katibu mkuu Offisi ya Rais akiidhinisha vibali watu waingie kazini mapema bila upendeleo wala chenga, tunajua, tunajua,tunajua vimemo vipo sana na vitakuepo sana ila mtuangalie basi akina sisi na sie tulambe japo asali ya wadudu wakubwa, hiyo ya nyuki wadogo nyie kuleni japo hii nyingine ili tubalance mambo.Mbali na hilo, kuna baadhi ya members wanasema bora PSRS ifutwe kazi zirudi kwenye taasisi husika. Na kuna wanao sema PSRS iendelee. This is a platform which values freedom of expression. Muhimu tukumbuke hakuna perfect system iliyo anzishwa na mwanadamu. Systems zote ulimwenguni zina loopholes. Mfano unaeza kuta kwenye democracy kuna loopholes ambazo huzikuti kwenye dictatorship, and vice versa.
Hivyo, tusiwe kaa kutaka kumvuta mtu chini ili sisi tupande. Kama utumishi wana kasoro ile ni system muhimu kutoa kasoro zake ili zirekebishwe kwa staha na si kama vita kwamba ifutwe ifutwe hapana. Malalamiko yafikishwe mahala husika ambapo ni kwa viongozi wa juu kusudi yafanyiwe kazi hata kama si kwa ajili yako bali hata kwa ajili ya vizazi vijavyo.
PSRS ichape kazi, lakini izingatie na kuchukulia criticisms hizi kama changamoto za kazi na wazifanyie kazi chap chap mambo yaende wapate ugali na wengine wapate ugali. Just a win win situation.
Nikweli mkuu wengi wanafaulu ila nafasi ni chache sasa uwekwe utaratibu mzuri wa kanzi data, na sio kukaza fuvu na pdf ya 1700+ humo unaweza usiwemo itakwa not significat kwako, tunapo komaa na kanzi data tunataka kanzi data nayo ifanye kazi effectively bila upendeleo au kuchomekana.Under cetaris peribas principle ukiingia oral umeshafaulu na kwa kawaida huwezi kukosa passmark 50 kwa maswali ya kumention kwa hiyo mtu ukitoka oral wengi wao wanakuwa na uhakika wa kuwemo kwenye database kwa sababu wanajua walivyojibu.
Watu wanaongea simple sana, wanadhani ni ishu ya siku mojaMfano kama huu kiongozi....Hayo ni maneno tu au wakifanya hivy wamevunja sheriaView attachment 2586727
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ule msemo wa We plan, God decide ulifanya yake.Umeonaeee....
mkuu una busara sana. hizi busara ziende kwa ndugu na pamoja na watu wa karibu yako pia.Ule msemo wa We plan, God decide ulifanya yake.
Siibezi Tamisemi ila kukosa kule kumekuwa afadhali kwangu
Kijana Ujobless usifanye Uwe na Makasiriko ungeelewa neno sina Uhakika usingesumbua Relax Hivyo hivyo Usinipe tabu ya kukuelewesha Maana Maswali yako naona hayaishi ulianza kuniuliza ulizisikia wapi nikakujibu naona tena umekuja na Ulizisikia lini? Bado naweza kukujibu Lkn utakuja ulimsikia Nani ?Hizo taarifa umeanza kuzisikia Lin? Na taasisi gan ambayo mwanzo ajira zake zilikua zinapitia utumishi zimeanza kuajiri zenyewe direct,
Hahahahahahahaha daah humu ndani kunafurahisha sanaKijana Ujobless usifanye Uwe na Makasiriko ungeelewa neno sina Uhakika usingesumbua Relax Hivyo hivyo Usinipe tabu ya kukuelewesha Maana Maswali yako naona hayaishi ulianza kuniuliza ulizisikia wapi nikakujibu naona tena umekuja na Ulizisikia lini? Bado naweza kukujibu Lkn utakuja ulimsikia Nani ?
Kuwa Jobless kusikufanye upende kupokea taarifa zinazokufurahisha. Narudia tena karejee Text ya Kwanza ? Ukielewa itakuwa vzr zaidi sina mood ya kubishana.
Nipo mkuu,sema harakati zimekua nyingi,tunaingia kwa manati humu.Mkuu unepotea sana humu.
Majukumu yanaendaje pande hizo