Laury
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,305
- 1,567
Naelewa mkuu, Wakati mwingine inatokea hasa pale budget inapofanyiwa re-allocation!Sawa but kumbuka Ajira zilikuwa ndani ya mwaka wa fedha 2022/2023
Naelewa mkuu, Wakati mwingine inatokea hasa pale budget inapofanyiwa re-allocation!Sawa but kumbuka Ajira zilikuwa ndani ya mwaka wa fedha 2022/2023
Poa mkuuNiko mkoa
Ukiitwa ndio unapewa barua ya kuanza kazi yenye maelekezo yote kuhusu kazi ikiwemo tarehe ya kuanza kazi(ajira) rasmi.Ety wakuu, hv kama umeripoti kwa Mwajiri wako tayari, baada ya hapo ukarudi Mtaani kusubiria kuitwa kazini kuanza Majukumu then Mwajiri akachelewa kukuita kazini kama miezi mitatu Je siku ya kuripoti kabisa kazini atakulipa pesa zako za miezi mi3 uliyokaa Mtaani..?
Mawakala wanahasira kinoma 😁, tokea Simba awaweke kitimoto juzi, nikama gov wanataka kuwapunguzia asali kutoka kwenye bakuli mpaka kwenye kikombe Cha kahawaNani anakaza ubongo mkuu, Mimi simo kwenye hyo mijadala yenu.. Sticky Hapahapa kwenye swali langu..
But nashukuru kwa majibu yako
Taarifa gani mkuuKwa taarifa niliyopewa kama ni kweli BaSi majobless wanafungua ukurasa mpyaa
Ipi tena,??njoo na taarfa kamili basKwa taarifa niliyopewa kama ni kweli BaSi majobless wanafungua ukurasa mpya
Malizia mkuu kutoa taarifaKwa taarifa niliyopewa kama ni kweli BaSi majobless wanafungua ukurasa mpyaa
shusha lonja nzima mkuuKwa taarifa niliyopewa kama ni kweli BaSi majobless wanafungua ukurasa mpyaa
Waperuzi hua wanasema vikipungua bsi kuna mkeka unapanda hahah sasa sjui ni kweliii!?vimwekumweku vimezima vyote kwenye placement .
Vipi hakuna za ndanindani????
Subiri badae PDF itoke uangalie jina lako, Leo PDF mpya lazima itoke, hiyo ni sure eventvimwekumweku vimezima vyote kwenye placement .
Vipi hakuna za ndanindani????
Mida ya PDF bado, subiri kwanzia sakumi na mbili jion had satatu usiku
Hahahhaha nmekupenda bure huwa unajua kumpa mtu matumaini sanaaa,good spiritSubiri badae PDF itoke uangalie jina lako, Leo PDF mpya lazima itoke, hiyo ni sure event
Nashukuru nduguHahahhaha nmekupenda bure huwa unajua kumpa mtu matumaini sanaaa,good spirit
Duuh..kweli kila stage ina stress yake, sikutarajia kama tunaweza kaa muda mrefu hivi, dahYaah Mwajiri nae ana taratibu zake! Kwa ninavyowaza nahisi asilimia ya walio wengi wanaolamba asali saiv wanaweza kuingizwa kazini mwaka mpya wa fedha..
Sure manKila siku mnaambiwa wanaochelewesha taratibu za ajira ni hao waajiri wenu ila bado mnakaza ubongo mnawalaumu PSRS.
Haya, mshahara unaanza kulipwa kuanzia tarehe iliyoelezwa kwenye barua ya ajira. Barua ya ajira sio ile ya utumishi, ni ile ya taasisi iliyokuajiri ambayo huwa inataja hadi mshahara.
Kama bado hujaipata hiyo basi hujaajiriwa bado na mwajiri wako bado anakamilisha taratibu za ajira (verification ya vyeti, background check, vetting, processing of check number etc).